KERO TANESCO Mtwara Mjini mnakata sana umeme Mtaa wa Sino, mnaharibu vitu vyetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kero yangu ni umeme, nipo Mtwara Mjini, Mtaa wa Sino, leo ni siku ya tatu wanakata umeme jioni Saa 12:30 unaweza kuwaka tena Saa 4 Usiku ila pia asubuhi wanakata pia Saa 12 hatuna taarifa ni kwa nini wanakata umeme wanaharibu vyakula vyetu.
 
Inasikitisha sana
 
Habari ndugu mteja.

Asante kwa kuwasiliana nasi, na pole kwa changamoto hiyo. Tafadhali tupatie namba yako ya simu pamoja na taarifa kamili za eneo unalopatikana, ikiwemo Kata, Mtaa/Kijiji na ili tuweze kukupatia msaada zaidi.^RS
 
Mkoa wa Mtwara , Wilaya ya Tandahimba kata ya Mihambwe huku umeme unakatika mpaka unajuta kuzaliwa Tanzania .

Nimekuja kutembelea takribani nina wiki mbili lakini sikumbuki kati ya siku hizo ni lini umeme umewaka masaa 24 bila kukatika , tena siku hizi imezidi kukatika hivyo tena kwa masaa mengi mpaka Jana nikashindwa kuwasiliana na watu kutwa nzima kutokana na simu kuisha charge na umeme hakuna
 
Ndugu mteja,

Tafadhali tupatie namba yako simu kupitia ujumbe binafsi ( inbox) ili tuweze kukupatia msaada zaidi.^FL
 
Mimi mtembezi tu wa muda sio mkazi wa kudumu . Ila kwa wiki mbili nilizokaa mpaka sasa sioni Faida ya Kijiji hiki kuwa na umeme.

Hapa nilipo usiku huu Giza tupu , ndani ya wiki mbili karibia kila siku usiku lazima wakate umeme siku nyingine na mchana kabisa yaani hukuna kabisa raha ya umeme .

Sioni umuhimu wa Mimi kuweka namba ya simu inbox ila mjue tu huku hali ni mbaya , nimekaa Dar na Moro kipindi cha tabu ya umeme ila hakukuwa mfulilizo na kwa tabu kama huku kibaya zaidi hakuna taarifa yeyote.
 
Tumekuelewa, ndugu mteja na lengo la kuomba mawasiliano yako ni ili kuwasaidia wataalamu wetu endapo watahitaji msaada wa ziada wakati wanafanya uchunguzi wa eneo.

Kwahiyo, tunashukuru kwa hii taarifa na tunaomba muda tuifanyie ufuatiliaji na kutoa mrejesho stahiki.

Asante. ^FL
 
Asante mkuu , ingekuwa Kijiji cha kawaida ningejitoa ila huku tuko karibu na Kambi ya jeshi ukiMistep u kwa maofsa jeshini.

Mpaka inakaribia saa 3 usiku tokea 11 jioni hakuna umeme na ndio hali ya kila siku , nimeenda barabarani kupata mahitaji raia wanasononeka hii hali.

Hii Sasa nimeipiga picha ni kiza tu na ndio hali ya kila siku.
IMG_20261006_204022.jpg

Hii mwanga wa simu tu umesaidia ila ni kiza simu umeme unarudi saa 7 au nane usiku , ukitaka simu iamke na chaji basi kabla ya kulala itegeshe .

Muda ambao umeme hauna Matumizi makubwa usiku mkali na asubuhi ndio unakuwepo , ila jioni na usiku wa mishemishe ni kipengele umeme
IMG_20261006_203954.jpg
 
Kero yangu ni umeme, nipo Mtwara Mjini, Mtaa wa Sino, leo ni siku ya tatu wanakata umeme jioni Saa 12:30 unaweza kuwaka tena Saa 4 Usiku ila pia asubuhi wanakata pia Saa 12 hatuna taarifa ni kwa nini wanakata umeme wanaharibu vyakula vyetu.
Mnampigia kiziwi gitaa
 
Tumekuelewa, ndugu mteja na lengo la kuomba mawasiliano yako ni ili kuwasaidia wataalamu wetu endapo watahitaji msaada wa ziada wakati wanafanya uchunguzi wa eneo.

Kwahiyo, tunashukuru kwa hii taarifa na tunaomba muda tuifanyie ufuatiliaji na kutoa mrejesho stahiki.

Asante. ^FL
Sasa umerudi saa 3 usiku now , wamejitahidi Leo kurejesha mapema
 
Asante mkuu , ingekuwa Kijiji cha kawaida ningejitoa ila huku tuko karibu na Kambi ya jeshi ukiMistep u kwa maofsa jeshini.

Mpaka inakaribia saa 3 usiku tokea 11 jioni hakuna umeme na ndio hali ya kila siku , nimeenda barabarani kupata mahitaji raia wanasononeka hii hali.

Hii Sasa nimeipiga picha ni kiza tu na ndio hali ya kila siku.
View attachment 3685437

Hii mwanga wa simu tu umesaidia ila ni kiza simu umeme unarudi saa 7 au nane usiku , ukitaka simu iamke na chaji basi kabla ya kulala itegeshe .

Muda ambao umeme hauna Matumizi makubwa usiku mkali na asubuhi ndio unakuwepo , ila jioni na usiku wa mishemishe ni kipengele umeme
View attachment 3685438
Ndugu Mteja, tunashukuru kwa hii taarifa na tunaomba muda tuifanyie ufuatiliaji na kutoa mrejesho stahiki.

Asante.^FL
 
Habari ndugu mteja.

Asante kwa kuwasiliana nasi, na pole kwa changamoto hiyo. Tafadhali tupatie namba yako ya simu pamoja na taarifa kamili za eneo unalopatikana, ikiwemo Kata, Mtaa/Kijiji na ili tuweze kukupatia msaada zaidi.^RS
Mnataka mmteke?
Kishawambia mnakata umeme mtaa mzima siyo kwake tu
 
Ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi.

Tafadhali fahamu lengo la kuomba mawasiliano ya mteja ni ili kuwasaidia wataalamu wetu endapo watahitaji msaada wa ziada wakati wanafanya uchunguzi wa eneo. Asante.^NI
 
Back
Top Bottom