Habari ndugu zangu.
Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu.
1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo;
2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33;
3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER...
Usije sema hukujua.
Siku hiyo akina Zai watakuwa kama wote.
Halafu kama mtakodi gari kutoka Dar kwenda Mtwara hakikisheni mnakuwa na UMOJA, mwenzenu akipigwa gari zima mnakuwa MASOJA.
N.B: palikuwaga panaitwa "MTWARAHA" Nyerere akaikata hiyo RA ili ibaki Mtwara maana alijua watanzania...
Wakuu, nipo mjini Mtwara. Nahitaji nipate vitu vifuatavyo.
Pete za ndoa
Pete za uchumba
Mkufu
Hereni na brcelet
Vyote hivyo viwe English Gold materials.
Naomba kufahamishwa maduka gani niende nyie wenyeji wa Mtwara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.