The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Baada ya vuguvugu la takribani siku nne lililohusisha mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji na wamachinga hatimae serikali imesalimu amri kwamba ilikurupuka kutoa amri ya kuhamisha watu bila kuwaandalia mazingira mbadala rafiki ya kufanyia kazi zao.
Kutokana na shinikizo hilo serikali imeruhusu waendelee na kazi zao kama ilivyokuwa mwanzo ili serikali ikajipange upya.
Kutokana na shinikizo hilo serikali imeruhusu waendelee na kazi zao kama ilivyokuwa mwanzo ili serikali ikajipange upya.