mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Chanazi

    Pre GE2025 Matatizo ya Morogoro Mjini hayataisha kama Mbunge ni Abood na Madiwani hawa wa kila kitu NDIO

    Kwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO! Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana Uchungu na wanaoneana Aibu kuambiana Ukweli! Ukimsema kwa nia ya Kumkosoa Mbunge kwa wema kabisa...
  2. masterpeace

    Generation ya bongo movie mjini YouTube

    Wadau. ebu tuzungumzie hii generation ya bongo movie ambao wao wamejikita kwenye mitandao ya kijamii hasa YouTube
  3. mdukuzi

    Pre GE2025 Makonda aikacha Kigamboni kugombea Arusha mjini

    Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha. Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida, wapinzani wake wakifukua makaburi kumleta mwenye jina lake. Kila anachikifanya Makonda pale Arusha ni maandaluzi ya...
  4. milele amina

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,msikilize Mkuu wa Mkoa wa Tabora! Chukua hatua Jimbo la Moshi Mjini Kuna shida mahali!

    Sitaongea mengi! Huu ni mwaka mpya! Sikiliza
  5. GANJIBHAAI

    Askari wa pale Posta mjini achoka kusimama baada ya miaka mingi, aamua kukaa 2025

    Chanzo Global Tv Online 🤣🤣🤣🤣
  6. Morning_star

    Ni kweli Mbeya kitimoto kilo ni elfu mbili?

    Wanaofahamu mkoa wa Mbeya mjini njoo mtujuze! Eti, Mbeya ni jiji kuliko Dodoma? Na, Kitimoto kilo elfu mbili na ndizi tatu bure?
  7. Chief Kumbyambya

    Hivi gari kama hii inatakiwa mafuta ya Tsh ngapi uweze kula nayo misele mjini hasa kipindi hiki cha holiday

  8. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Dkt. Damas Ndumbaro agawa Mitungi ya Gesi 150 Songea Mjini, Wanawake wamshukuru sana

    Dkt. Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini amegawa Majiko ya Gesi 150 ya kupikia pamoja na Viambata vyake kwa Wanawake wa Kata 21 za Jimbo la Songea Mjini "Mapema Desemba 27, 2024 hapa manispaa ya Songea Mjini nikiambatana na Kamati ya Mfuko wa...
  9. LA7

    Kuna ulazima gani wa mimi kujenga nyumbani ikiwa mm naishi mjini?

    Mbona baba yangu hakujenga kwao, naomba kujua faida zake zaidi ikiwa tu nikienda kusalimia sikosi pakulala
  10. G

    Ni aibu kurudi kijijini kila mwaka hujapiga hatua, Ni lazima utarudi mjini na hasira ya kuzisaka noti, kwenye ukoo unadharaulika kama huna pesa

    Jamii nyingi hazina hii pressure, mnakutana kiukoo kwenye misiba na sherehe, Imeisha hio!! Kwa upande mwengine sana kuna haka kautamaduni mnakutana wiki hadi mwezi kwa dhumuni la kujuliana hali, kutambulisha wanafamilia wapya, n.k. Na ole wako ukose sasa kwenda kijijini, kelele zinaanza...
  11. ngara23

    Shughuli za makabila wawapo mjini

    Kila kabila au mkoa una utambulisho wao hapa mjini Dar 1. Watu kutoka Tanga Hawa hujulikana kama waganga wa kienyeji, Yaani ukimwambia mtu unatokea Tanga mtu atakuwazia mganga tu Kwa wanawake wa Tanga Huwa wanasifika Kwa mahaba japo binafsi sijawahi kukutana na Binti wa Kitanga 2 Waha, watu...
  12. N

    CHADEMA imeua kiki zote mjini. Uchaguzi wao unazungumziwa kuliko hata wa Serikali za mtaa uliopita

    Sasa hivi mpaka january wale wapenda kiki watulie tu mpaka upepo wa chadema uishe yaan nimejua kua CHADEMA inafatiliwa sana inapendwa huu uchaguz unazungumziwa kuliko hata ule uchafuzi wa serikali ya mtaa uliofanyika juz juz
  13. heartbeats

    Sema mwenyewe Mjini hapa una Christmas ngapi?

    Yes wazawa na wakuja uzi special Mjini hapa Dar tangia ufike una Christmas ngap Binfsi jiji hili la dar nina Christmas 24 Aya wewe mwenzangu hadi sasa hii ni Christmas ya ngapi kuwepo jiji hili
  14. N

    Sifa za mtoto wa mjini

    Kuna watu wanapenda sana kujiita watoto wa mjini! Wana jamii wenzangu embu tuchambue sifa za mtoto wa mjini. Binafsi sijui mtoto wa mjini ni mtu wa aina gani. Nasikia tu watu wakijiita au kuitwa mtoto wa mjini!! Hivi ukiwa mtoto wa mjini ndo unakua na sifa zipi? Au unatakiwa uwe na sifa zipi...
  15. A

    DOKEZO Chuo cha ICOT-Morogoro cha Wizara ya Ujenzi kinatoa elimu dhaifu na hakilipi wakufunzi

    Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana. Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu...
  16. Suip

    Wakala wa mabati ALAF Arusha anapatikana wapi Arusha Mjini?

    Kwa wakazi wa Arusha napenda kufahamu wakala wa mabati ya ALAF anapatikana wapi Arusha mjini na je wanauza mabati kwa urefu ninaohitaji au zimeshakatwa katika urefu wa mita tatu? Naomba kufahamishwa.
  17. S

    Fursa za kiuchumi za kukutoa kimaisha kwa mkoa wa Kigoma hasa Ujiji na Kigoma mjini

    Naomba kufahamishwa fursa za kiuchumi za mkoa wa Kigoma
  18. DungaMawe

    Tangazo kwa wale wote mtasafiri kutoka mjini kwenda vijijini, hapa kuna mambo ya msingi ya kuzingati

    🇹🇿TANGAZO TANGAZO.🇹🇿 Kwa wale mnaokuja kula christmas vijijini zingatia yafuatayo: 1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 2 usiku hivyo mkae kwa kutulia. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Byabato Awafariji Watoto Yatima 200 Kupitia Tamasha la Bukoba Mjini Mpya 2024

    MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024 📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu 📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa 📌Wananchi wajitolea kuchangia Damu Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau...
  20. DeMostAdmired

    JAMANI KUNA WATU WANA MBINU YA KUKWEPA KULIPA MADENI HAPA MJINI

    Huyu Boss nilimshushia mzigo wa kama 2.4m wiki ilopita tuaahidiana baada ya siku 3 ataclear. Juzi nimeenda ofisini kwake, alikuepo yeye na mkewe, ile napaki ka pikpik kangu pembeni naingia ofisini waliponiona tu wakaanza kutupiana maneno kama ya ugomvi vile ugomvi so wa kitoto maneno makali...
Back
Top Bottom