watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni
nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar
kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua na kazi za maana
au waolewe na wanaume wanajielewe vinginevyo wapo kwenye risk ya kua hasara ...
https://www.instagram.com/reel/DDik26boAQ2/?igsh=aTVva3FldHozbmRw
Najua wengine mnashangaa Rayvanny na Mwamposa wapi na wapi.
Rayvanny ametoa album na kuna wimbo yupo na Mwamposa.
Usiku alikuwa kwenye ibada ya Mwamposa na akapanda jukwaani akapewa na maiki aimbe.
Watu wanasema anapromoti...
Kila kitu hapa mjini kinahitaji hela, unawezaje kusevu hela mpaka ufike hatua ya kujenga?
Na ukichukuwa mkopo benki ndiyo hatari zaidi. Kama ni mkopo wa kutegemea mshahara utakuta unakuwa mteja wa kausha damu, na kama ni biashara utaona inakufa mbele ya macho yako.
Mjini mambo yote yanahitaji...
"Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe Freeman Mbowe amezungukwa na kundi la watu ambao wamejijengea umangi meza.
Bahati mbaya ni kwamba Mweyekiti ni mwepesi wa kupokea fitina na majungu na wakati mwingine anayapokea kwenye vikao visivyo rasmi. Na akishaamua kukushughulikia lazima atakushinda.
Hawa...
Uko mjini wazazi wako hasa Maza wako yuko kijijini na maisha yanakuswaga kila siku?
Mpigie simu maza wako muulize mama una chakula ndani?
Muulize mama umekula nini leo?
Muulize hayo maswali mawili halafu uone maisha ya mama yako yalivyo huko kijijini.
Halafu fanya maamuzi magumu, angalia ni...
Aminia sana wakuu. Moja kwa Moja kwenye Mada, Wakuu Naomba mnipe uelekeo nahitaji kujua sehemu gani TANGA MJINI ambayo naweza nikapata kazi zile nzito nzito za ujenzi au kubeba zege au kwenye viwanda vya nondo vya wahindi kama vipo, Viwanda vya cement, Kushusha mizigo nk. Ili nikatafute kazi...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anaewakilisha Asasi za Kiraia Tanzania Bara Mheshimiwa Neema Lugangira amepiga kura kuamua Fyucha ya Kitaa kwenye kituo cha kupigia kura shule ya sekondari Kahororo Mtaa wa Rwome, Kata ya Kashai Bukoba Mjini.
Sahivi Harrier tako la nyani namba E za kutafuta, kuna hizi 3rd gen za kuanzia 2013 kuja juu.
Chuma naziona aisee kibao utasema zinauzwa bei za CX5 kumbe unapata CX5 mbili hapo.
Mfano cheapest unaweza ipata BF hizi hapa, mil 30 kasoro.
Sasa ukija na ushuru wa TRA ndio utajua haujui...
Wadada WA mjini, Wana mambo mengi, akilalamika humridhishi achana nae HUWEZI kuridhisha, wapo wanatumia Tango, chupa ya bia, carrot 🥕 na kwa sasa wamehama kwenye kibomba.
Wakuu
Baba Levo anaiota Times Square huku!
Mtangazaji wa Wasafi Media, Baba Levo, ametoa maoni yake kuhusu majengo ya eneo maarufu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, akisema kuwa hayafai kuwepo katikati ya jiji.
"Majengo ya Kariakoo, asilimia kubwa, kama kweli tunataka haki, eneo hilo...
Habarini ndugu zangu,
Naomba nisiwachoshe, bali niingie moja kwa moja kwenye swala la msingi. Kuna mtaa hapa Iringa mjini unaitwa Mashine Tatu, ambao ni mtaa wa pili kwa idadi kubwa ya wafanyabiashara wadogo na wakubwa. Mtaa namba moja kwa shughuli nyingi ni Miyomboni.
Ndugu zangu, mtaa huu...
Ukiona mambo hayaendi Mjini, rudi kijijini ukajipange upya.
Wakati ukiendelea kupambana na online hustles, kumbuka kuwa na vitu vingine vi2 au zaidi utakavyofanya kujipatia kipato kama online pakiwa pakavu.
Najua utakataa, ila kijijini unasave sana matumizi ya pesa na unapata muda mzuri wa...
Duka la dawa Muhimu DLDM LINAUZWA mwenye nalo, anaondoka Tabora
bei ya kutupa million 3 tu pamoja na dawa
Bei haipungui
Duka
Lina kabati 2 nyuma
Kila moja futi 8 kimo 4 upana
Kabati 1 mbele futi 5 kimo 4 upana
Pembeni pia partition 3 vioo urefu wa 4×3
Duka Lina lesseni ya biashara ina expire...
Habari za asb wadau. Nyama nzuri iliyopimwa na mtaalam ~Steak kilo & Mixed Beef ~Nyama yenye mifupa - Kilo 80 inapatikana.
Una shughyli, shule, Hoteli tupigie 0787904860 tupo Morogoro mjini Steak 12000 Mixer 9500 wahi
Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote.
Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea.
Watu wanahojiwa karibu masaa matatu...
Salaam wadau....Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini. Kiwe self, itapendeza nikipata maeneo ya karibu na hospital ya mkoa. Mwenye connection tuwasiliane tafadhali.
Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
Jumanne wiki hii ndani ya ofisi za chama cha mapinduzi(ccm) moshi mjini,kulitokea tukio ambalo siyo la kistaarabu pale kada wa chama hicho,Ibrahim Shayo a.k.a Ibraline alipomporomoshea matusi makali mstahiki meya wa manispaa ya moshi,Zuberi Kidumo.
Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.