CAF Yasifu Maandalizi ya Tanzania kuelekea AFCON 2027

CAF Yasifu Maandalizi ya Tanzania kuelekea AFCON 2027

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
IMG-20260918-WA0031.jpg


Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kupitia Rais wake Patrice Motsepe, limeeleza kuridhishwa na maendeleo ya maandalizi ya Tanzania kwa ajili ya AFCON 2027. Motsepe amesifu juhudi zinazofanywa nchini katika kuboresha miundombinu ya viwanja na maandalizi mengine, huku akisisitiza ushirikiano na kuongeza kasi katika maeneo yanayohitaji kukamilishwa. Tanzania, pamoja na Kenya na Uganda, itakuwa mwenyeji wa mashindano hayo yatakayofanyika Juni 19 hadi Julai 17, 2027.
 
Tanzania Wameilipa caf bilion 82 Tshs
Kenya na Uganda hivyohivyo.
Jumla bilion 246 za kibongo Caf imechukua.
This is very unfair.
Sasa faida ya Afcon ni nini?
Mbona ni loss tu.
Viwanja vyenyewe huwa havina washabiki, Wenyeji wenyewe obviously wataondolewa mashindanoni mapema tu.
Faida ya afon ni nn?
Mkumbuke previous hosts hawakulipa gharama hizi
 
Back
Top Bottom