PostGE2025 Kuelekea Oktoba 29, 2026: Bila VPN JamiiForums.com haifunguki!

PostGE2025 Kuelekea Oktoba 29, 2026: Bila VPN JamiiForums.com haifunguki!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna kunguni yeyote atakaye chekewa safari hii.
Safari hii mtafuatiliwq hadi chooni.
wachochezi na waratibu wote wa mipango ya vurugu wanajulikana
 
Kamuulize mama yako Mzee Simba Nyamaume ni Nani yako?

Hebu tufanye kidogo analysis ya majina.
Mtoto= sweet baby
Simba Nyamaume= jina la kiumeni
Mara nyingi mnaojinasibu "wanaume" mtaani, usiku wanaume wenzenu wanawapumulia mgongoni na baada ya hapo na "posho" mnawapa. Wewe ni miongoni mwao! Ahahahahaha!
 
Wee katoto kuwa na adabu japo kidogo. Nimekuwepo JF tangu mwaka 2006 ikiitwa JamboForums, basi jipe nafasi kidogo tu ya kujitafakari na kuona kama Kuna ulazima wa kumtukana mtu ambaye hajakujosea lolote.

Kwenye mikikimikiki yote ya JF nimekuwepo hapa, hadi tukabadilisha baadhi ya ID, mpaka tukahamia Kenyanforums, tulikuwa tunapashana taarifa kichinichini.

Je nimefanya ubaya kukuuliza ni lini JF ilipotoa tangazo rasmi kwamba Tuanze kutumia VPN?
Dogo Mtoto wa Shule usidhani mimi matusi siyajui, nikifungulia hapa mtambo utamsikitikia mama yako kwanini alikuzaa.

Sitaki tufike mbali ila jihadhari na Bujibuji Simba Nyamaume zee la hovyo
Haya maneno ya born hia hia bado yanatumika😄

Pole sana mkuu Bujibuji binafsi situmii Vpn ila nipo JF
 
Mtu upo ndani ndani uko network inasumbuaa unaanza kuja na vihoja vya ajabu
Ndio usenge wa JF ya sasa mmejaa wajinga wajinga wengi ujuwaji mwingi wakati hamjui lolote pumbavu kabisa.

Mnajuwa mashambulio yanayoipata JF? Issue siyo network mitego iko kwenye model za simu, apps na aina ya browser.
 
Back
Top Bottom