WITO: Watanganyika Tusikubali Kumpoteza Humphrey Polepole, LAZIMA TULIPE KISASI

WITO: Watanganyika Tusikubali Kumpoteza Humphrey Polepole, LAZIMA TULIPE KISASI

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,844
Reaction score
9,916
Nadhani kama ni muda wamepata muda wakutosha, wasipimrudisha basi siku ya uzinduzi wa AFCON tuitimie kwa maandamano ya amani ya kumdai.

Pia tutafute ili kubaini wahusika wote ili nao washughulikiwe kwa sheria za jadi.
 
Huenda wapo hai sehemu fulani wanaishi vema tu! Watajitokeza na kusema walikuwa wapi siku zote hizo, dunia ina mambo mengi yaliyositirika
 
Nadhani kama ni muda wamepata muda wakutosha, wasipimrudisha basi siku ya uzinduzi wa AFCON tuitimie kwa maandamano ya amani ya kumdai.

Pia tutafute ili kubaini wahusika wote ili nao washughulikiwe kwa sheria za jadi.
IMG-20260829-WA0027.jpg
 
Wamemuua kweli? Kuna mdogowake ambaye ni mtoto wa baba yake mdogo anadai yuko hai na yuko Dodoma.
Soma hii mada utapata uhalisia

 
Nadhani kama ni muda wamepata muda wakutosha, wasipimrudisha basi siku ya uzinduzi wa AFCON tuitimie kwa maandamano ya amani ya kumdai.

Pia tutafute ili kubaini wahusika wote ili nao washughulikiwe kwa sheria za jadi.
Itakuwa amejificha ndani ya vee eytee, anakuchora na makasiriko yako
 
ukweli mtupu HAYUKO HAI TENA.
kwenye kukamatwa kaleta upinzani na migomo kapondwa sana na kupelekea kuvuja damu maeneo mbalimbali na ubongoni ilipopelekea kifo chake.

anyway na CCM yake mpya ni hakika.

watu wanasema alikuwa na majivuno na hapokei simu wala kujibu sms na namba kawapa mwenyewe.

kila sarafu ina upande miwili ila HPOLEPOLE karudi kwenye chanzo kama kila ben saanane BYEBYE
from Mwananchi mmoja raia wa wa Tanzania
 
Back
Top Bottom