kwao

The following is a list of radio stations and translators in the United States broadcasting Air1 programming, which can be sorted by their call signs, frequencies, state, city of license and broadcast area.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tunampiga Liverpool kwao, Hafu tunakaa pale juu. Ije El Ninò uje Ukame, HATUTOKI KILELENI!

    Kama unaweka Hela, weka ata Million. Arsenal Bingwa.
  2. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha ni wajanja sana wakiwa kwao ila wakitoka nje ya mkoa wao wanakua kama kondoo

    hawa vijana ukiwakuta kwao ni wajanja wajanja sana na ubabe mwingi ila ukikutana nao sehemu tofauti na asili yao ni underdogs wa kutupwa aisee. ukikutana nao shule au chuo hata mtaani unakuta wana kampani ya peke yao full kufuatana kama kumbikumbi. nyie machalii hasa wameru na nyie mnaojiita...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu hana record yoyote ya kuaminika kwamba ni mtetezi wa haki za binadamu iwe ni kwao Singida, Tanzania, Africa au kokote duniani.

    Na kwahivyo, hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV. Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake, kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Poland: Siku tutakayojenga Misikiti ni siku Qatar wakiruhusu Tujenge Kanisa (Cathedral) Kwao

    Mbunge wa Poland atoa maoni yake kuhusu uhamiaji haramu na namna dini inaweza kusababisha mabadiriko ya kiimani, usalama na utawala katika nchi hiyo ambayo kwa miaka mingi imekuwa na Wakristo kwa asilimia zaidi ya 90% hasa Roman Catholics...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kuna uchafu mwingi sana Tanzania kama ni kweli .Ni ngumu kutoka kwao

    Unaweza kuona bandari yetu wakijisifia ila nyuma ya pazia. Huko ndiko kitovu cha silahaa zinazokwenda congo,sudani . Mwengine ni kenya na yeye yupo kwenye listi. Tuishie hapa.
  6. D

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Makumira kinapaswa kuacha tabia ya kuthibitisha nafasi za udahili wa wanafunzi bila ridhaa yao

    Chuo cha Makumira kinapaswa kuacha tabia ya kuthibitisha nafasi za udahili wa wanafunzi bila ridhaa yao, hasa wakati wanafunzi hao bado wanaendelea na mchakato wa kufanya uchaguzi wa vyuo mbalimbali kupitia mfumo wa TCU. Kitendo hiki kinawanyima wanafunzi uhuru wa kuchagua vyuo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wanatawaliwa na uongozi wasioutaka na kwao wanasema ni haramu.

    Wanasema hawampendi huyu mkuu wa nchi. Kuanzia watoto wazee mpaka vibibi. Anawatawala kwa lazima sababu tu analindwa na jeshi. Kuanzia bodaboda, wauza mkaa hadi watoto hawampendi. Hawataki awe kiongozi wao...
  8. fatherlikenoother

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukagundua rafiki zako kwao ni matajiri..?

    Niadje WanaJF kwenye haya maisha tunakutana na kuconnect na watu mbalimbali ilikuwaje ukagundua kwamba mshikaji wako kwao sio kinyonge wako na ganji ya kutosha
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Familia ya Urassa yakataa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao wakati wa mazishi

    Familia ya Urassa imesema haitaruhusu ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao Kijiji cha Nkuu Sinde, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa Jane Urassa, ikieleza kuwa wanaotaka kumuaga wataruhusiwa kuhudhuria ibada itakayofanyika kanisani pekee. Msemaji wa familia...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

    Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI! Wamepanga lazima wamkute na hatia. Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali. Option 2 - Ahukumiwe...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF ingesogeza mbele dabi kama mechi za kirafiki kwa Taifa Stars zingekuwa muhimu kwao.

    Wanaozilaumu timu kuwaita wachezaji wao kurudi kambini kujiandaa na mechi ya dabi badala ya kuilaumu TFF ni wahuni kama wahuni wengine tu. TFF ina mamlaka ya kuisogeza mechi kubwa sana kwenye mashindano yake ya ligi kama ingekuwa inataka timu ya taifa icheze mechi za kirafiki. Haiwezekani timu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tangu lini watawala wa ccm wakawa na uchungu na wananchi! EL NINO kwao ni fursa kubwa ya kupiga hela na most likely "zimeshapigwa".

    Bilioni 700 ni pesa zimeshagawanywa ...ni fursa...vikao nadhani vimeshakula robo! ☺️ ☺️:CarltonPls: Time will tell!
  13. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tafakari:Hivi hawa waliotuzudi kila kitu wakasema nyie mje kwao alafu wao waje afrika.

    Nasikiliza nyimbo ya DJ yusufu :"maisha mazuri yako mbele kwa mbele". Tumepewa kila kitu afrika lakini tumeishia kuwa maskini
  14. A

    JamiiForums Tanzania Akina Vozinha wamedhalilishwa kwao na Rwanda, wamepigwa 2-1. Mpira wa Africa umebadilika sana

    Licha ya kushindwa kufuzu Kombe la Dunia, Cape Verde imeendelea kuonesha ushindani mkubwa. Katika mechi zake nne zilizopita ilifanikiwa kupata matokeo ya kuvutia dhidi ya timu kubwa kama: Spain 0-0 Cape Verde Cape Verde 2-2 Uruguay Saudi Arabia 0-0 Cape Verde Argentina 2-2 Cape Verde Timu hiyo...
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Twende mbele, turudi nyuma, watanganyika tunazalauliwa mno, mbona sie ndo twatekwa, twapotezwa kwao hata kunguni haikuwahi tekwa?

    Mama Dr Samia suluhu Hassano, nina tumah u mzima wa Afya, na umemaliza Eda ya kifo cha mumeo salama salimini. Nina uhakika mwenyezi Mungu Baba Wa Mbinguni atakuwa amepokea dua zako ulizokuwa unamwombea Mumeo. Dr Samia suluhu Hassani mimi ni mtanganyika, mkazi wa kanyigo, jumapili ya leo...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

    Je, watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa? Na je, wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
  17. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mafunzo ya Itikadi kwao

    Hili genge a wahuni bwana
  18. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Kingai aliyejenga nyumba ya Mungu kijijini kwao kesho anakwenda kuchuma dhambi

    Amejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili Lissu anyongwe
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tunapenda kulaumu madogo wa Jenzii ila tunasahau wanafanya wanayo fanya kupitia uvumbuzi wa vitu na mambo tulioleta sisi millenials

    Ooh mabinti wa jenzii wanaliwa jicho sana, ila ni nani alio wafundisha tangu wakiwa shuleni, si ndio nyie milenials wenyewe Ooh vibinti vya jenzii vinajiuza sana mitandaoni, kwani ni nani ni inventor wa social media na kuruhusu policies za utupu si ni vijana wa millenials kurudi nyuma? Ooh...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ruto aagiza waamiaji haramu waondoke Kenya kabla ya 7 Sep 2026

    Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza kuanza kwa operesheni ya nchi nzima dhidi ya raia wa kigeni wasio na vibali na wanaoendesha biashara ndogo ndogo, maduka ya rejareja, vibanda na biashara za kuzunguka mitaani. Wafanyabiashara hao wameelekezwa kufunga biashara zao. Hatua hiyo inalenga kuzuia...
Back
Top Bottom