Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Licha ya kushindwa kufuzu Kombe la Dunia, Cape Verde imeendelea kuonesha ushindani mkubwa. Katika mechi zake nne zilizopita ilifanikiwa kupata matokeo ya kuvutia dhidi ya timu kubwa kama:
Jambo jingine:
Guinea-Bissau, timu iliyowafunga mabao mawili huko Zanzibar na ambayo baadhi walikuwa wakiidharau, leo imeibuka na ushindi dhidi ya Nigeria, huku Nigeria ikiruhusu kufungwa mabao matatu.
Tukio lingine linaloonesha mabadiliko ya soka la Afrika:
Somalia ilikaribia kupata matokeo makubwa dhidi ya Ivory Coast baada ya kuzuia mabao hadi dakika ya 90. Mechi hiyo iliyochezwa Morocco kwenye uwanja wa upande wowote, ilimalizika kwa Ivory Coast kupata bao pekee katika dakika za nyongeza.
Matokeo haya yanaonesha kuwa ushindani katika soka la Afrika umeongezeka, na hakuna timu inayoweza kupuuzwa kirahisi.
- Spain 0-0 Cape Verde
- Cape Verde 2-2 Uruguay
- Saudi Arabia 0-0 Cape Verde
- Argentina 2-2 Cape Verde