kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Wanaozilaumu timu kuwaita wachezaji wao kurudi kambini kujiandaa na mechi ya dabi badala ya kuilaumu TFF ni wahuni kama wahuni wengine tu.
TFF ina mamlaka ya kuisogeza mechi kubwa sana kwenye mashindano yake ya ligi kama ingekuwa inataka timu ya taifa icheze mechi za kirafiki. Haiwezekani timu moja kati ya timu zitakazocheza dadi iwe na wachezaji wengi ambao hawako kwenye maandalizi ya mechi ya dabi.
Wachambuzi wanaolalamika ni wapenzi wa timu mojawapo zitakazocheza dabi trh 10/10. Kwanini walingeishauri TFF isogeze mbele mechi ya dadi ili timu na wachezaji wasiwe na mchecheto wa kuwakosa wachezaji wao walioko kwenye timu ya taifa?