Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Amejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili Lissu anyongwe
nonsense 🐒Amejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili lisu anyongwe
Kesi imeisha, usiniulize tenaAmejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili lisu anyongwe
AiseKesi imeisha, usiniulize tena
Mkuu una za ndaaani utupeKesi imeisha, usiniulize tena
Mbona hamuelewi,huyu ni shahidi wa Lissu,anaenda kumtetea Lissu.Lissu ndo atakaye muhoji wakina Katuga watakuja kwenye maswali ya dodoso.Labda Kingai aamue kuwa hostile witnessAmejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili Lissu anyongwe
Erythro (Erisloo) kuti fiki? Ndikhu jhoba na fimo?Kesi imeisha, usiniulize tena