fatherlikenoother
Member
- Jun 5, 2020
- 16
- 44
Niadje WanaJF kwenye haya maisha tunakutana na kuconnect na watu mbalimbali ilikuwaje ukagundua kwamba mshikaji wako kwao sio kinyonge wako na ganji ya kutosha
Mwaka 97 tayari alikuwa na mavuzi? Yupo humu au?😉Yule Samira, ambaye alikuwa demu wangu, alikuwa na mashine ya kujinyolea vuzi tu na si vinginevyo. Just vuzi!
Nilishangaa, kwa sababu mwaka 97 hili halikuwa jambo la kawaida.
Sidhani kama yuko humu.Mwaka 97 tayari alikuwa na mavuzi? Yupo humu au?😉
OkaySidhani kama yuko humu.
Hahah au sioWanamiliki video na ungo mkubwa na deki ya vhs bila kusahau redio ya spika 2 zinazochomoka.
97 watu tunazaliwa tayari unademu shikamooYule Samira, ambaye alikuwa demu wangu, alikuwa na mashine ya kujinyolea vuzi tu na si vinginevyo. Just vuzi!
Nilishangaa, kwa sababu mwaka 97 hili halikuwa jambo la kawaida.
Kumbe wewe ni girandifaza?Yule Samira, ambaye alikuwa demu wangu, alikuwa na mashine ya kujinyolea vuzi tu na si vinginevyo. Just vuzi!
Nilishangaa, kwa sababu mwaka 97 hili halikuwa jambo la kawaida.
Asante mkuu kwa kunipa shikamoo yangu ambayo naistahili kabisa. Angekuwa kijana mwingine hapa angesema amezaliwa miaka ya 80 ili ajifurahishe.97 watu tunazaliwa tayari unademu shikamoo
Yeah, kabsa kabsa!Kumbe wewe ni girandifaza?
Nipo papiSidhani kama yuko humu.
Nilitaka tu kuwapoteza maboya wambea wa JF.Nipo papi