Mdogo wangu anaenifata ni wa 97 utasubiri sana salamu!Wewe ni Genz wa 2000 na 1 au 2 uwe unasalimia
Sasa mnaezpishana hata masaa labda kurwa na dotoMdogo wangu anaenifata ni wa 97 utasubiri sana salamu!
Nilimgundua baada ya kumshtukia anatumia jina bandia/fake ili kuficha ukweli wake.Nilipochimba taarifa kidogo na kumchokoza,alicheka sana.Aliniambia kwamba alijua tu ningetumia suspicions zangu na siku moja ningejua na alijiandaa kwa hilo.Niadje WanaJF kwenye haya maisha tunakutana na kuconnect na watu mbalimbali ilikuwaje ukagundua kwamba mshikaji wako kwao sio kinyonge wako na ganji ya kutosha
Una mjukuu?Yule Samira, ambaye alikuwa demu wangu, alikuwa na mashine ya kujinyolea vuzi tu na si vinginevyo. Just vuzi!
Nilishangaa, kwa sababu mwaka 97 hili halikuwa jambo la kawaida.
Muhenga mwenzangu wewe. Redio ina 5 CD changer😀😀😀Wanamiliki video na ungo mkubwa na deki ya vhs bila kusahau redio ya spika 2 zinazochomoka.
yuko wapi now aliendelea na shule ama aliachana nayo kabisaHuyo mwanetu tulisoma naye A'Level, siku ya paper la Taifa Physics 2 jamaa alikimbia mtihani, washikaji tulimhurumia knoma tukaona anaenda kufeli maisha.
Ile tunamaliza paper la mwsho kabsaa practical tunaingia whatsap tunaona mwmba kapost status yupo na Gari ya mzee wake anadunda tu kitaa🙌, halafu tulikua tunasoma shule ya Gavoo local tu
Unataka battle laivuu nipo laivuuuu.... Wewe ni mwanangu kabisa unamaliza form four Juzi grandpa's ya mafia au ungujaAsante mkuu kwa kunipa shikamoo yangu ambayo naistahili kabisa. Angekuwa kijana mwingine hapa angesema amezaliwa miaka ya 80 ili ajifurahishe.
Itapendeza zaidi ukisema 'wajukuu' 😎Una mjukuu?
Sawa kwa kuwa umenidogosha. Na babu huwa napenda pia kutaniwa na mjukuu wangu.Unataka battle laivuu nipo laivuuuu.... Wewe ni mwanangu kabisa unamaliza form four Juzi grandpa's ya mafia au unguja
Haiwezekani! Na pia ni mapacha hao!Sasa mnaezpishana hata masaa labda kurwa na doto
NaamMuhenga mwenzangu wewe. Redio ina 5 CD changer😀😀😀
Aliachana na mambo ya shule kabsaa huyoyuko wapi now aliendelea na shule ama aliachana nayo kabisa