Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?

Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa chadema kwasasa, utajiunga chama kipi cha siasa baada ya chadema kufuatwa?

Kwa ambao si wanachama wa chadema, mna moani na mtazamo gani dhidi ya hoja hii mahususi mezani kwa ujumla?:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Unrealistic assumption,kifutwe kwa kosa gani sasa?
nadhani kwa wakati muafa hilo litabainishwa kwa mujibu wa sheria gentleman.

but endapo chadema itafutwa,
unadhani wanachama wapekwe wa chadema itakayofutwa watajiunga zaidi na chama gani cha siasa miongoni mwa nilivyovitaja hapo juu, kwa maoni yako huru? :NoGodNo:
 
Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?

Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa chadema kwasasa, utajiunga chama kipi cha siasa baada ya chadema kufuatwa?

Kwa ambao si wanachama wa chadema, mna moani na mtazamo gani dhidi ya hoja hii mahususi mezani kwa ujumla?:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
CCM itawalamba.. ndivyo fisi (CCM) anavyosubiria simba (CDM) ateme nyama...
 
CCM itawalamba.. ndivyo fisi (CCM) anavyosubiria simba (CDM) amtee nyama...
kwa faida ya wadau wa JF,
unaweza kufafanua kwa kina kirefu kidogo gentleman kama hutojali? :NoGodNo:
 
Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?

Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa chadema kwasasa, utajiunga chama kipi cha siasa baada ya chadema kufuatwa?

Kwa ambao si wanachama wa chadema, mna moani na mtazamo gani dhidi ya hoja hii mahususi mezani kwa ujumla?:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Wee jamaa unajijua jinsi ulivyo na uchizi kichwani?
Sasa nikwambie Chadema ikifutwa kwa mujibu wa uchizi wako tutakuwa kikundi cha waasi na patachimbika kweli kweli!
 
Karibu mwaka wa kumi sasa unaota Chadema kufutwa, have a break bud.

hii ni thread yako ya 27 kwa wiki ukiomba Chadema ifutwe.
 
Wee jamaa unajijua jinsi ulivyo na uchizi kichwani?
Sasa nikwambie Chadema ikifutwa kwa mujibu wa uchizi wako tutakuwa kikundi cha waasi na patachimbika kweli kweli!
Gentleman,
ikiwa wewe sio mwendawazimu ni muerevu,
makasiriko na mihemko useless na kujipiga kifua kusiko na maana yoyote jukwaa, kunachochewa na nini hasa kwamfano, badala ya kutoa maoni na mtazamo wako huru dhidi ya hoja mahususi mezani?

why are you exposing the level of your empty head like that?

utamchimba nani wewe kwa mfano,
na ulivyo na mihemko useless hivyo?
waeleze wadu wa JF,
ikiwa chadema itafutwa,
wanachademna wapweke wanajiunga chama kipi zaidi cha siasa nchini? :NoGodNo:
 
Karibu mwaka wa kumi unaota Chadema kufutwa, have a break bud.

ukiachalia mbali makasiriko na mihemko useless uliyonayo,
una maoni gani dhidi ya hoja mahususi mezani gentleman? :NoGodNo:
 
kwa faida ya wadau wa JF,
unaweza kufafanua kwa kina kirefu kidogo gentleman kama hutojali? :NoGodNo:
mpango wenu huko ccm ni kutaka kuifuta cdm kwa matumaini kwamba wanachama wa cdm watakuja kwenu... kinyume chake, chuki zitazidi zaidi dhidi ya ccm na serikali yake... Tlaatlaah, nyuzi zako nyingi humu ndani ni za kufuta cdm, Lissu afungwe na kwa kweli umewakalia sana hao cdm... waache wapumue basi... umewakalia sana kooni na nyuzi zako za hapa na pale... hamia jukwaa la mapenzi kwa muda halafu ndio urudi huku...
 
Chadema inaweza kufutwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, na si vinginevyo gentleman.
Nadhani so ni mashahidi wa namna chadema ilivyoacha misingi na sheria za nchi na kujigeuza kua kituo cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi chenye malengo ya kuvuruga umoja, amani na usalama wa waTanzania.

kwasababu hiyo tu,
kuna haja ya kuachwa bila kufutwa kweli?

Hata hivyo,
ningefurahi kuskia maoni yako,
ikiwa chadema itafutwa, wanachama wake watakaokua wapweke watajiunga na chama gani hasa cha siasa? :NoGodNo:
 
Hawataenda popote litageuka kundi maarufu la kigaidi nadhani ndo itakuwa mwanzo wa watanzania wote kuishi maisha ya hofu sana
nadhani ni vizuri kufahamu hili gentleman,
kwamba umoja, amani na usalama wa waTanzania wote vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile,
na kwahivyo hakuna kikundi au genge la kihalifu litakaoachwa litambe nchini hata kwa sekunde moja tu kwenye ardhi takatifu ya Tanzania.

waarifu na wahalifu wengine kuhusu hili bila kificho na itapendeza zaidi :NoGodNo:
 
mpango wenu huko ccm ni kutaka kuifuta cdm kwa matumaini kwamba wanachama wa cdm watakuja kwenu... kinyume chake, chuki zitazidi zaidi dhidi ya ccm na serikali yake... Tlaatlaah, nyuzi zako nyingi humu ndani ni za kufuta cdm, Lissu afungwe na kwa kweli umewakalia sana hao cdm... waache wapumue basi... umewakalia sana kooni na nyuzi zako za hapa na pale... hamia jukwaa la mapenzi kwa muda halafu ndio urudi huku...
Huyu jamaa yuko kazini hapo Lumumba, amekabidhiwa Chadema ahangaike nayo.
Hii shughuli itamtoa roho.
 
baada ya kumpiga kamba na kumpotosha huyo mdau wa JF asie na hatia,

maoni yako ni yapi sasa kuhusu hoja mahususi mezani?

ni upi mTanzamo wako ukiachana na dhana potofu ambayo unajaribu kumpiga nayo kamba mdau huyo huru wa JF? :NoGodNo:
 
Basi mwenyewe umeona umeyapatia maisha!!!!!!!!! Kumbe unatumika kama Condom!!!!!! Wanaokula ni wengine!!!!!!!!!!!!!!!
okey sawa,
baada ya hiyo mihemko na maneno yako mbofumbofu,

ni yapi sasa maoni yako dhidi ya hoja mahususi mezani ndugu mdau wa heshima wa JF, licha ya utovu wa kimaadili ulionao?

wanachama wengi wapweke wa JF watahamia cham kipi cha siasa baada ya chadema kufutwa rasmai?
changia tu hoja bila mihemko na itapendeza zaidi:NoGodNo:
 
Gentleman,
ikiwa wewe sio mwendawazimu ni muerevu,
makasiriko na mihemko useless na kujipiga kifua kusiko na maana yoyote jukwaa, kunachochewa na nini hasa kwamfano, badala ya kutoa maoni na mtazamo wako huru dhidi ya hoja mahususi mezani?

why are you exposing the level of your empty head like that?

utamchimba nani wewe kwa mfano,
na ulivyo na mihemko useless hivyo?
waeleze wadu wa JF,
ikiwa chadema itafutwa,
wanachademna wapweke wanajiunga chama kipi zaidi cha siasa nchini? :NoGodNo:
Tatizo mgongo umeharibiwa. Jibu nimeshakupa ila bado unawashwa. Mama yako ajaribu aone!
 
Tatizo mgongo umeharibiwa. Jibu nimeshakupa ila bado unawashwa. Mama yako ajaribu aone!
kwa faida ya wadau wa JF,
JIELEZE TU BILA MIHEMKO NA ITAPENDEZA ZAIDI GENTLLEMAN,
HAKUNA HAJA YA KUJIPIGA KIFUA NA HUNA CHOCHOTE UNACHOWEZA KUFANYA KUZUIA CHADEMA KUFUTWA KWA MUJIBU WA SHERIA :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom