Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

uliwahi kuwa na hoja wewe toka lini?
tuliza mihemko bas na itapendeza zaidi.

huna haja ya kumbwelambwela jukwaani ikiwa umelemewa na ukweli mtupu dhidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi šŸ’
 
huna haja ya kumbwelambwela jukwaani ikiwa umelemewa na ukweli mtupu dhidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi šŸ’
Inaonekana sikuizi nyuzi zitakuwa zimeongezwa ili ulambe buku saba maana ulipumzila tu nchimbi alipojiudhulu na kupotelea kusikojulikana
 
Kwenye nchi inayoongozwa na katiba, hakuna mzaha, aibu, haya wala huruma kuzfuata taasisi au vyama vya siasa vinavyokiuka sheria na taratibu za kisheria za usajili wake.

Na chama kisichoungwa mkono na wananchi na kikakosa muwakilishi kwenye vyombo vya maamuzi kama vile bungee, havina budi kwenda kujipanga upya bila kuweweseka na visingizio useless visivyo na kichwa wala maskio.

wapiga kura wamekikataa chama chako na mgombea wako, unamnung'unikia nani sasa, kujipange upya. Wape nafasi na fursa ya kuutumikia umma, wale waliochaguliwa na wananchi šŸ’
Kati ya chadema na sisi tulioshika Dola nani anaevunja Sheria mara nyingi!!?
Tumevunja Sheria mara ngapi!!?kiutendaji!!?

Uhuru wa kutoa maoni ndani ya chama umekiukwa mara ngapi!!?

Au we umefumba macho!!?

Juzi Kuna wakuu walihitajika mahakamani hawakwenda na hao ni wanachama wetu he hawajavunja Sheria!?mahakama ikitumia mamlaka yake je watawajibika!!?

Kabla hujaiona chadema kwanini usione ya kwetu kwanza!!?
 
Chadema hakiwezi kufutwa, kifutwe kwa sababu gani wakati ccm inayoendelea kuifisidi nchi na kuua watu hakijafutwa.

Hizo ni fikra za kichawa tu. Bure kabisa.
 
Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?

Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa chadema kwasasa, utajiunga chama kipi cha siasa baada ya chadema kufuatwa?

Kwa ambao si wanachama wa chadema, mna moani na mtazamo gani dhidi ya hoja hii mahususi mezani kwa ujumla?:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
CHAMA CHA MUUWAJI (CCM) wa waTanganyika
 
Back
Top Bottom