Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Shida inayokusumbua ni ugonjwa wa.akili na unapaswa kutibiwaok sawa,
tuliza mihemko sasa na urilax, right?![]()
Uache kuamini kwamba watu wote walio kinyume na mtazamo wenu hasa CCM wanamihemikoo
Ukiweza kujitibu hili tatizo unaweza kuwa mtuu bora kabisa.
Nikukumbushe sio wote wanokosoa CCM HUMU NDANI NI CDM.
MIMI NI CCM TENA KADA KULIKO WEWE NA TENA NAKULA NA WENYE MAMLAKA KWA HIYO
HIVYO TUNAONA MWENENDO WA CCM WA KIUONEVU KWA WANACHI WA NCHI HII SIO SAWAA
NA HATA WEWE UNALIJUA HILI
TUKO TUU KWENYE MFUMO KWASABABU TUU VIAPO VYETU LKN
