Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

nadhani ni vizuri kufahamu hili gentleman,
kwamba umoja, amani na usalama wa waTanzania wote vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile,
na kwahivyo hakuna kikundi au genge la kihalifu litakaoachwa litambe nchini hata kwa sekunde moja tu kwenye ardhi takatifu ya Tanzania.

waarifu na wahalifu wengine kuhusu hili bila kificho na itapendeza zaidi :NoGodNo:
Sii jambo la kushererkea kufutwa kwa chama chochote hata kama hikipendi unazalisha magenge ya waliokata tamaa
 
Tafuta hela ili usitumike na tabaka tawala!!!!!! Kwa kifupi usiwe kama Condom.
Yes,
ni muhimu sana kutafuta hela kwa bidii, maarifa na umakini mkubwa,
ili hatimae kuondokana na unyonge wa kiuchumi ambao mara nyingi unachochea watu wengi, ikiwa ni pamoja na wewe mdau, kua na mihemko na makasiriko useless yasiyo na kichwa wala miguu kwenye mijadala.

unyomnge wa kiuchumi unapunguza utulivu na stability ya kifikra,
na kumfanya mtu badala ya kua mtulivu na anaejikita kwenye hoja mahususi mezani, yeye analipuka kwa mihemko useless huku akijipiga kifua kwamba ni hodari zaidi wa kuropoka kumbe yupo pointless kabisa.

hata pamoja na hayo,
unaweza kuwaeleza wadu wa JF japo kwa kifupi tu,
ikiwa chadeema itafutwa rasmi,
wanachama wake wapweke watajiunga zaidi kwenye chama kipi cha siasa humu nchini?

changia bila mihemko na itapendeza zaidi:NoGodNo:
 
Sii jambo la kushererkea kufutwa kwa chama chochote hata kama hikipendi unazalisha magenge ya waliokata tamaa
Gentleman,
hakunaga sherehe kwenye masuala ya kisheria na ndio maana hata mtu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa, mshindi anakua sheria na katiba ya nchi.
So,
kufutwa kwa chadema au chama kingine chochote kile cha siasa kitakachiokiuka sheria kutazingatia sheria za nchi na si vinginevyo gentleman,
ni vizuri kufahamu hilo na itapendeza zaidi

zalisheni magenge ya waliokata tamaa kadiri muwezavyo lakini sio magenge ya kihalifu kwasababu hayo yatafyekwa na kusambaratishwa in a second. :NoGodNo:
 
Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?

Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa chadema kwasasa, utajiunga chama kipi cha siasa baada ya chadema kufuatwa?

Kwa ambao si wanachama wa chadema, mna moani na mtazamo gani dhidi ya hoja hii mahususi mezani kwa ujumla?:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Tuambie Kwanza wewe ikitokea mafisadi na mauwaji ya CCM yametoweka kabisa hapa dunia ni utakatia viuno wapi maana ulishazoea
 
Kwanini kisifutwe Ccm? Kina kila baya linalotokea nchini, utekaji, mauaji, wezi na kadhalika
FB_IMG_1789853758474.jpg
 
Ndiyo maana Katiba mpya inapigiwa chapuo ili kuondoa vyama kuhodhi haki ya kikatiba ya mtu kuchaguliwa ama kumchagua amtakaye (Mgombea binafsi). Katiba ndiyo suluhisho la sintofahamu kama hizi
 
Sasa ndugu si umeniomba ushauri?? Nimekujibu kuwa tafuta hela ili uwe huru. Inaonekana unalipwa kwa kueneza cheap propaganda huku utimamu wa akili yako ukiwa dhaifu.
Yes,
uko sahihi kwa 100% ndugu mdau,
hata mimi nimejaribu tu kuongeza nyama kwenye hilo,
kwamba unyonge wa kiuchumi huwakosesha wengi utulivu wa kifikra na badala yake hulipuka mihemko na makasiriko yasio na kichwa wala miguu na kumbwelambwela vitu nonsense tofauti kabisa na hoja mahususi mezani.

ni muhimu kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili hatimae kuondokana na hali hiyo ya fedheha sana.

Anyway,
ukiondoa kujipiga kifua huko na dhana potofu uliyonayo dhidi ya hoja,
nadhani wadau wa JF badao wanasubiri maoni na mtazamo wako dhidi ya hoja mahususi mezani.
Unadhani wanachadema wengi watahamia chama gani cha siasa endapo chadema itafutwa?:NoGodNo:
 
Tuambie Kwanza wewe ikitokea mafisadi na mauwaji ya CCM yametoweka kabisa hapa dunia ni utakatia viuno wapi maana ulishazoea
Gentleman,
hiyo porojo yako ni vizuri ukaiandikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi.
kwasasa ni vizuri kujikita kwenye hoja iliyoko mezani :NoGodNo:
 
Kwanini kisifutwe Ccm? Kina kila baya linalotokea nchini, utekaji, mauaji, wezi na kadhalikaView attachment 3674305
andikia uzi mahususi mezani gentleman,
ili wadau watoe maoni yao huko na itapendeza zaidi.

kwasasa,
nadhani ni muhimu kujikita kwenye hoja mahususi iliyoko mezani na itapendeza zaidi :NoGodNo:
 
Gentleman,
hiyo porojo yako ni vizuri ukaiandikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi.
kwasasa ni vizuri kujikita kwenye hoja iliyoko mezani :NoGodNo:
Mbona wewe hujajikita kukata viuno ambayo ndio ajila mahususi aliyokutoa chadema na kukupeleka lumumba au tukutaje majina yako kenge wewe siku zote huwa na kuambia chadema hukufukuzwa uliondoka kwa sababu ya manjaa yako mjinga wewe watu tunapinga watu kutekwa ufisadi na mambo mengi tu ya kijinga wewe kutwa kucha kuleta porojo zako hapa angalizo TUTAKUTAJA MAJINA YAKO YOTE ILI JAMII IKUJUE
 
Endapo itafutwa,
basi itafutwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa uwezo wa watu fulani.

Tazania kila jambo hufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
ni vizuri kufahamu hili na itapendeza zaidi :NoGodNo:
Hakuna mwenye uwezo wa Kuifuta CHADEMA kama chama cha siasa...
 
Inaonekana unapenda kubishana (sifa ya mtu mjinga) na siyo kuelekezana (sifa ya mtu mwerevu).

Kwa kutumia akili yako ndogo ya kuvukia barabara hii ni hoja ya kujadili??
Ndugu mdau wa JF,
ikiwa huna maoni dhidi ya hoja mahususi iliyoko mezani,
huna haja ya kupanic,
unaweza kuendelea kujivinjari kwenye comments muhimu na za maana sana za wadau wa jf,
au kutembelea nyuzi za wadau wengine wa JF kwa uhuru na bila mbambamba yoyote,
nadhani itapendeza zaidi

hakuna haja ya kujipiga kifua jukwaani hali yakua uko pointless dhidi ya hoja mahususi mezani:NoGodNo:
 
Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?

Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa chadema kwasasa, utajiunga chama kipi cha siasa baada ya chadema kufuatwa?

Kwa ambao si wanachama wa chadema, mna moani na mtazamo gani dhidi ya hoja hii mahususi mezani kwa ujumla?:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Kwa nini uwaze CDM kufutwa?
 
Huna tofauti na malaya
 
Back
Top Bottom