Kachina95
Member
- Mar 7, 2019
- 62
- 211
Nadhani siku CCM wakiamua kuigiza mahakama kuifuta CHADEMA ndio siku watakabiliana na siasa ngumu zaidi.Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?
Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa chadema kwasasa, utajiunga chama kipi cha siasa baada ya chadema kufuatwa?
Kwa ambao si wanachama wa chadema, mna moani na mtazamo gani dhidi ya hoja hii mahususi mezani kwa ujumla?
Mungu Ibariki Tanzania
Siasa za vyama zitakufa rasmi nchi itashuhudia uhaini ule wenyewe sio huu wakutengenezwa na akina Katuga.
Siasa zitahamia msituni, kama hamkujifunza Oktoba 29 basi jaribuni hii muone



