uko sahihi ndugu mdau wa jf,Hakuna mwenye uwezo wa Kuifuta CHADEMA kama chama cha siasa...

Watajiunga na upigania Katiba mpya!Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?
Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa chadema kwasasa, utajiunga chama kipi cha siasa baada ya chadema kufuatwa?
Kwa ambao si wanachama wa chadema, mna moani na mtazamo gani dhidi ya hoja hii mahususi mezani kwa ujumla?
Mungu Ibariki Tanzania
Hakuna mwenye uwezo wa kuifuta CHADEMA kama chama cha siasa...na kwahivyo chadema inafutika vizuri tu kwa mujibu wa sheria na hakuna mtu atafanya kitu kwenye hilo humu nchini![]()
acha porojo jikite kwenye mada gentleman na itapendeza zaidiMbona wewe hujajikita kukata viuno ambayo ndio ajila mahususi aliyokutoa chadema na kukupeleka lumumba au tukutaje majina yako kenge wewe siku zote huwa na kuambia chadema hukufukuzwa uliondoka kwa sababu ya manjaa yako mjinga wewe watu tunapinga watu kutekwa ufisadi na mambo mengi tu ya kijinga wewe kutwa kucha kuleta porojo zako hapa angalizo TUTAKUTAJA MAJINA YAKO YOTE ILI JAMII IKUJUE

Chadema haina wanachama ina wafuasi, km wapo ni wachache sana. Ni km Simba na Yanga, wanachama kabisa hai wenye kadi na wanaolipia ni wachache ila hizo timu zina mashabiki na wapenzi wengi, ndivyo kilivyo chadema.Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?
Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa chadema kwasasa, utajiunga chama kipi cha siasa baada ya chadema kufuatwa?
Kwa ambao si wanachama wa chadema, mna moani na mtazamo gani dhidi ya hoja hii mahususi mezani kwa ujumla?
Mungu Ibariki Tanzania
Unajua hata pa kuanzia? Haitafuatwa ila kitafutika chenyeweWee jamaa unajijua jinsi ulivyo na uchizi kichwani?
Sasa nikwambie Chadema ikifutwa kwa mujibu wa uchizi wako tutakuwa kikundi cha waasi na patachimbika kweli kweli!
kwasabau hiyo,Chadema haina wanachama ina wafuasi, km wapo ni wachache sana. Ni km Simba na Yanga, wanachama kabisa hai wenye kadi na wanaolipia ni wachache ila hizo timu zina mashabiki na wapenzi wengi, ndivyo kilivyo chadema.

Kwa nini uwaze CDM kufutwa?Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?
Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa chadema kwasasa, utajiunga chama kipi cha siasa baada ya chadema kufuatwa?
Kwa ambao si wanachama wa chadema, mna moani na mtazamo gani dhidi ya hoja hii mahususi mezani kwa ujumla?
Mungu Ibariki Tanzania
Yote yanawezekana, lets wait uamuzi wa Majaji. Hiyo Itakuwa ni bog blow kwa CDM maana walishajitenga na Vyama vyote vilivyopo.kwanini kisifutwe gentleman kwa mfano mpaka sasa?![]()
nadhani kujitenga ni dalili mojawapo kwamba hicho sio tena chama cha siasa,Kwa nini uwaze CDM kufutwa?
Yote yanawezekana, lets wait uamuzi wa Majaji. Hiyo Itakuwa ni bog blow kwa CDM maana walishajitenga na Vyama vyote vilivyopo.

Very possible, analyis iko vizuri.nadhani kujitenga ni dalili mojawapo kwamba hicho sio tena chama cha siasa,
huenda kinafanya wajibu mwingine usio wa kisiasa, na huenda ndio maana kinakiuka sheria za vyama vya siasa kila uchwao. Nadhani huo ndio msingi wa kufutwa kwake.
sidhani kama kuna haja ya kusubiri matokeo ya uchunguzi wa tume ya jaji Lila,
huenda hilo likafanyika mapema zaidi kabla ya kuendelea kuspoil waTanzania kwa tamaduni zisizofaa![]()
Umeanza na neno .."Kama"... If and but...Chadema inaweza kufutwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, na si vinginevyo gentleman.
Nadhani so ni mashahidi wa namna chadema ilivyoacha misingi na sheria za nchi na kujigeuza kua kituo cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi chenye malengo ya kuvuruga umoja, amani na usalama wa waTanzania.
kwasababu hiyo tu,
kuna haja ya kuachwa bila kufutwa kweli?
Hata hivyo,
ningefurahi kuskia maoni yako,
ikiwa chadema itafutwa, wanachama wake watakaokua wapweke watajiunga na chama gani hasa cha siasa?![]()
Yaani amekuwa ni kama AI, hakuna analo fanya la maana, siku moja watamgeuza " mind your back, kwa hisani ya Dudubaya"...Huyu jamaa yuko kazini hapo Lumumba, amekabidhiwa Chadema ahangaike nayo.
Hii shughuli itamtoa roho.
Gentleman,Umeanza na neno .."Kama"... If and but...
Kama tunazungumzia hali ya kudhania kwamba CHADEMA Kitafutwa, haiwezekani kusema kwa uhakika wanachama wake watajiunga na chama gani. Wangeweza kugawanyika: baadhi kuacha siasa za vyama kwa muda, baadhi kuunda au kuunga mkono muundo mpya wa kisiasa, na baadhi kuhamia vyama vingine vya upinzani.
ACT-Wazalendo (CCM B) na mshirika wa serikali huko Zenj, ni chama ambacho kingekuwa muhimu kuangalia katika mazingira hayo kwa sababu tayari ni chama cha upinzani chenye shughuli za kitaifa na nafasi kubwa hasa Zanzibar. Hata hivyo, ACT imekuwa na mkondo wake wa kisiasa; kwa mfano Julai 2026 ACT-Wazalendo Zanzibar na CCM walitia saini makubaliano ya maridhiano baada ya mkwamo wa kisiasa wa uchaguzi wa 2025. Hivyo, hilo pekee halimaanishi kwamba wanachama wa CHADEMA watahamia huko ACT kwa wingi.
Pia kuna sababu ya kutokuwa na haraka ya kudhani kwamba CHADEMA itaondoka kwenye uwanja wa siasa. Julai 2026 chama kilikuwa bado kinafanya maamuzi ya Kamati Kuu na kutangaza kuendeleza kampeni yake ya Katiba Mpya, huku Septemba viongozi wake wakiendelea kuonekana hadharani katika shughuli za kisiasa na kesi ya Tundu Lissu.
Kwa hiyo, swali muhimu zaidi ni: ikiwa CHADEMA ingefutwa, na sio kama itafutwa, maana bado, je ni chama gani kingekuwa na au kitakuwa na uwezo wa kuvutia sehemu kubwa ya wanachama wake? ACT-Wazalendo, chama kipya, au vyama vidogo vilivyopo au CCM kubwa la maadui?
