Tafakari:Hivi hawa waliotuzudi kila kitu wakasema nyie mje kwao alafu wao waje afrika.

Tafakari:Hivi hawa waliotuzudi kila kitu wakasema nyie mje kwao alafu wao waje afrika.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Nasikiliza nyimbo ya DJ yusufu :"maisha mazuri yako mbele kwa mbele".

Tumepewa kila kitu afrika lakini tumeishia kuwa maskini
 
Ni mindset zetu zilivyo tofauti ndio kumepelekea sisi kuwa hivi tulivyo. Imagine swala dogo tu la usafi nje ya nyumba yako unataka manispaa na serikali za mitaa waje wasafishe.
 
Back
Top Bottom