Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
ok.Mchengerwa jizi mwezenu anawalalamikia UVCCM kwamba nyie mmemzidi kwa kula rushwa. Ni kweli we hipo mtoto

ok.Mchengerwa jizi mwezenu anawalalamikia UVCCM kwamba nyie mmemzidi kwa kula rushwa. Ni kweli we hipo mtoto

Hakuna upumbavu, ni habar muhimu sana hiiUpumbavu mwingine msiwe mnauleta humu.
Au tumeishiwa habari za maana?
Auze na radi pia huyo ni kada wa CCMKiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
View attachment 3693600
Wa2 wa mfumoZezeta wewe.
Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
- Troll JF
![]()
- kazini mikono mikono salama rachel dangwa salama sana wapo yuko
- Replies: 206
- Forum: Jukwaa la Siasa
Wa2 wa mfumo
Kituko kabisa hy
Ha haaaa auze hadi kalio.......hii nchi ina wajinga wengi ndio maana ukombozi unachelewa.Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
View attachment 3693600
Mtu mpaka anauza hakiba ya Chakula kukimbambania Chama una mdharau?
Wajinga nyie.Safi sana, hawa ndio viongozi wanaotakiwa