Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
kwamba heche sio fisadi na hajatamka kwa Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na yeye ndie mwenyekiti wa chadema taifa?šš¤acha uongo mkuu.
kwamba heche sio fisadi na hajatamka kwa Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na yeye ndie mwenyekiti wa chadema taifa?šš¤acha uongo mkuu.
Huko kutamka mkuu,ni kweli?kwamba heche sio fisadi na hajatamka kwa Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na yeye ndie mwenyekiti wa chadema taifa?š
wenye chama wamemchachamalia mbaya sana,Heche anataka kumpindua Lisu ahodhi chama peke yake
Michael ni mpiga debe wa Ignas Malocha Mbunge wa zamani wa Kwela Jimbo ambalo kwa Sasa Mbunge wake bandia ni Deus Sangu Waziri wa Kazi, Ajira..... Kajiunga CHADEMA lini?Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
View attachment 3693600
Hii ni lugha gani!!??Mtu mpaka anauza hakiba ya Chakula kukimbambania Chama una mdharau?
Yes,Huko kutamka mkuu,ni kweli?

"If you decide to live like a, DOG, you should die like a DOG"Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
View attachment 3693600
Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
View attachment 3693600
Halafu anavyoongoea, kama hajalewa kido atakuwa kavuta ile kitu.Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
View attachment 3693600
Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
View attachment 3693600
Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
View attachment 3693600
Mbona anataka kukivuruga chama huyuYes,
ni kweli kabisa ndugu mdau wa JF,
Fisadi heche kajitangaza kua yeye ndie mwenyekiti wa chadema taifa na lisu ni makamu wake tu na hakuna wa kubadilisha ukweli huo japo kuna wazee wanajaribu kumkemea heche aache ubabe![]()