Kulikoni hakuna feedback ya mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa ndugu John Heche pale Bomang'ombe ground, Hai?

Au ule mkutano uliotangazwa kufanyika pale bomang'ombe haukufanyika tena?

Na kama ulifanyika,
Mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya kujitangaza mwenyewe, na kudai Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, ametoa kauli au maelekezo gani ya kwanza kama mwenyekiti wa chadema taifa katika mkutano huo wa hadhara bomang'ombe?

Chadema communication & strategy team mnakwama wapi my friends, ladies and gentlemen?
Mbona mmesinzia na kuzubaa kiasi hiki?

Wadau wa JF wangependa kufahamu feedback ya mkutano mliooutangaza kufanyika bomang'ombe ndugu zangu? Au na nyinyi ni one army kama ilivyo sasa kwa mwenyekiti mpya wa chadema taifa?
Hahahaaa dah
Umejisomea chuo gan huo uchokoz wew kijan na njano
 
hakuna uchokozi wowote kwenye jukwaani hili huru la siasa gentleman.

ni katika kufahamu tu kilichoendelea pale Bomang'ombe na mwenyekiti mpya wa chadema taifa katoa kauli gani za maana, basi!🐒
 
Au ule mkutano uliotangazwa kufanyika pale bomang'ombe haukufanyika tena?

Na kama ulifanyika,
Mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya kujitangaza mwenyewe, na kudai Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, ametoa kauli au maelekezo gani ya kwanza kama mwenyekiti wa chadema taifa katika mkutano huo wa hadhara bomang'ombe?

Chadema communication & strategy team mnakwama wapi my friends, ladies and gentlemen?
Mbona mmesinzia na kuzubaa kiasi hiki?

Wadau wa JF wangependa kufahamu feedback ya mkutano mliooutangaza kufanyika bomang'ombe ndugu zangu? Au na nyinyi ni one army kama ilivyo sasa kwa mwenyekiti mpya wa chadema taifa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
mapigwa miti yamechanganyikiwa baada ya heche jana kutua hai kwa kishindo.
 
hakuna uchokozi wowote kwenye jukwaani hili huru la siasa gentleman.

ni katika kufahamu tu kilichoendelea pale Bomang'ombe na mwenyekiti mpya wa chadema taifa katoa kauli gani za maana, basi!🐒
mapigwa miti yanadepression baada ya mama yao kusikia yuko mahututi soon anaenda kuzikwa aoze shenzi kabisa.
 
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman, hakuna haja ya kupindisha mjadala kwa mambo useless jukwaani ikiwa uko pointless na itapendeza zaidi 🐒
Heche piga machoko na mabasha yao bado yanapumua kwa mbali.
 
Nadhani wadau wa Jf wanasubiri kwa hamu kufahamu kauli ya kwanza ya John Heche tangu ajitangaze kua yeye ndie mwenyekiti wa chadema taifa na Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa 🐒
Heche malizia kupiga machoko maana tayari yametepeta.
 
Au ule mkutano uliotangazwa kufanyika pale bomang'ombe haukufanyika tena?

Na kama ulifanyika,
Mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya kujitangaza mwenyewe, na kudai Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, ametoa kauli au maelekezo gani ya kwanza kama mwenyekiti wa chadema taifa katika mkutano huo wa hadhara bomang'ombe?

Chadema communication & strategy team mnakwama wapi my friends, ladies and gentlemen?
Mbona mmesinzia na kuzubaa kiasi hiki?

Wadau wa JF wangependa kufahamu feedback ya mkutano mliooutangaza kufanyika bomang'ombe ndugu zangu? Au na nyinyi ni one army kama ilivyo sasa kwa mwenyekiti mpya wa chadema taifa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Chadema ni chama chenye watu wenye akili ndogo sana

USSR
 
Kiukwel hata mimi nometafuta updates za mkutano wa cdm Hai. Nimekua nangoha kujua nini kilijiri.
Sasa wapenda mabadiliko wenzangu, tukiulizwa mambo ya msingi tujibu tu kwa hoja, hakuna haja ya kuporomosha matusi. Haipendezi
 
Back
Top Bottom