Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #41
umeeleza ukweli mtupu gentleman š¤Kiukwel hata mimi nometafuta updates za mkutano wa cdm Hai. Nimekua nangoha kujua nini kilijiri.
Sasa wapenda mabadiliko wenzangu, tukiulizwa mambo ya msingi tujibu tu kwa hoja, hakuna haja ya kuporomosha matusi. Haipendezi