heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. M24 Headquarters-Kigali

    Mapokezi ya Heche Vs Wassira mkoani Mara

    1. Mara ni kitivo cha uongozi. Mwl Nyerere, Jaji Warioba, Jenerali Msuguri, IGP (Mstaafu) Sirro ndio waliopotokea. 2. Tunawakaribisha viongozi wetu hapa airport Musoma tarehe 30/03/2025. Saa 5 asubuhi
  2. Msanii

    Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

    Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lisu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa. Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya...
  3. M

    Karibuni kwenye tafrija fupi ya kusherehekea ushindi wa Lissu na Heche.

    Tumeandaa tafrija fupi ya kuwapongeza waheshimiwa Tundu Lissu na John Heche kwa ushindi wao katika uchaguzi Mkuu wa CHADEMA uliofanyika jana/leo. Lakini pia katika tafrija hiyo tutampongeza Freeman Mbowe kwa kukiongoza chama kwa muda wote huo. Tafrija itafanyika kesho tarehe 23.01.2025 kuanzia...
  4. W

    Videos: Siasa ngumu zinahitaji watu wagumu, matukio kadhaa yakionyesha msimamo na ujasiri wa John Heche

    Tumia dakika zako 10 kuziangalia hizi videos kuuona ujasiri na msimamo wa Makamu mpya wa Chadema John Heche alichomjibu Magufuli akiwa ziarani Tarime Hii ni baada ya kukatazwa kufanya mkutano Heche na Polisi wavutana baada ya kuripoti Polisi Sirari na Tarime Rorya
  5. Msanii

    Tupia screenshots na clips za ushindi wa Lissu na Heche hapa

    Uzi wa kutupia clips na screeshots zinazohusu ishindi wa Lisu tarehe 22/01/2025 Kupitia hapa, pongezi hizi ni muhimu kwa kumbukumbu tutakapompongeza tena hapo Oktoba 2025
  6. Mkalukungone mwamba

    Heche: Siasa ngumu zinahitaji watu wagumu

    Mgombea nafasi makamu mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema kutokana na hali ya kisiasa ya sasa ya nchini inahitaji watu wagumu kuziongoza ili kuleta mabadiliko. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu? Heche...
  7. P

    WIMBOMPYA: Hili ni Bonge la Wimbo wa Kuwanadi Lissu na Heche kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu, sikiliza hiki kipaji TOT wakasome

    https://youtu.be/mPmjrS_HcYk?si=9ZuRb3PSprgMakCN Wajumbe sikilizeni huu Wimbo kwa makini sana hakika Watanzania wanataka mabadiliko 2025
  8. comte

    Aliyekuwa mgombea nafasi ya Uenyekiti BAVICHA: Lissu na Heche walitia doa kampeni za Uchaguzi wa BAVICHA

    Mgombea Uenyekiti BAVICHA Masoud Mambo akifunguka A to Z kilichotokea kwenye Uchaguzi BAVICHA baada ya wakubwa kuingilia kati. Source: East Africa Radio My take: Usafi wa Heche na Lissu uko mdomoni tu- ni wachafu kuliko uchafu wenyewe
  9. K

    Tukilinganisha Wasira na Heche! Ni Mbingu na Ardhi

    Baada ya wazee wenye maono kama Pinda na Mama Makinda kukataa kazi ambayo itafanya historia yao iharibike ya kuwa makamu wa CCM kwenye chama ambacho kwa sasa kinategemea Polisi na usalama kushinda. CCM imemchagua mzee wasira mwenye miaka 80 na anasahau mpaka wajukuu zake majina. Kwa ufupi...
  10. chiembe

    Mikakati ianze kuhakikisha Heche na Lema hawashindi jimbo lolote watakalogombea mwaka 2025

    Nashauri mikakati mikali ifanyike kuhakikisha Hawa jamaa bunge walione kwenye TV tu. Hata kama itachukua gharama kiasi gani. Ni watu wa hovyo wanaopenda vurugu na magomvi
  11. Valencia_UPV

    Mamlaka ya Nidhamu iwafute uanachama Lissu, Heche & Lema kwa kumdhalilisha Mwenyekiti

    Hawa watu wamemdhalilisha Mwenyekiti hadharani. Wafutwe uanachama mapema Sana kabla haijamgharimu Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Wajumbe wenyewe hawasomeki mpaka sasa
  12. N

    Heche: Ezekiah Wenje ama ni mjinga au hajui anachokisema

    Hiki ndicho alichokiandika John Heche muda mfupi baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje
  13. M

    Ujumbe ulioandikwa na John Heche kwenye X (Twitter) mwaka 2020 ukimuhusu Mbowe huu hapa

    Ujumbe ulioandikwa na John Heche kwenye Twitter. mwaka 2020 ukimuhusu Mbowe. Huu hapa ni ujumbe wake: Kamati kuu yetu ina wajumbe 35. Kila anayehamahama au kufukuzwa anamshambulia Mbowe, maamuzi ya cc yanaitwa ya Mbowe. Ni mkakati piga mchungaji kondoo watawanyike. Akihama mtu hata kwenye...
  14. Rula ya Mafisadi

    ATT: Ombi maalum kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Please, Please msiwafukuze Lema, Lissu na Heche CHADEMA hii ni kwa faida yenu na Taifa letu

    == Chonde chonde waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Freeman Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na Taifa sijui kama mnalifahamu hili vema Viongozi wangu, Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema...
  15. M

    Shairi la kuwaaga Lissu, Heche na Lema CHADEMA

    Walikuwa mashujaa, sauti za upinzani, Heche, Lissu, na Lema, majina ya matumaini, Walilia haki, wakapigania usawa, Leo wameondoka, mioyo imejaa maswali na uchungu wa ndani. Ni uchaguzi wa ndani, si vita vya umoja, Lakini kilichobaki ni majeraha ya mioyo, Je, ni hasira ya kushindwa au dhoruba ya...
  16. Waufukweni

    Pre GE2025 Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu itatupa tabu CCM, Mbowe sio mgumu

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). "Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza, Wenje mnaweza mkazungumza na mambo yakaenda na mkapeleka nchi yenu mbele." "Lakini wale jamaa...
  17. M

    Hili heche sio sawa kumvunjia heshima Mbowe

    Ktk X account yake ameandika karibu chairman katika picha hii. Hii ni utovu wa nidhamu mkubwa ktk siasa Sasa Mbowe utamwita nani? Wakati yeye ndio chairman? Chama chenye dola kama CCM unaweza kuandika hivi? Ushauri Mitandao ya kijaamii yasikuvimbishe kichwa, utapotea ktk siasa za upinzani mpaka...
  18. Cannabis

    Baada ya Lissu, Mbowe, Wenje na Heche sasa ni zamu ya John Mnyika kuunguruma

    Katibu mkuu wa CHADEMA anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kesho 07/01/2025 saa tano asubuhi katika makao makuu ya chama hicho.
  19. J

    CHADEMA wamtupa Wenje, sasa wanajadiliana ni nani Kati ya Mbowe na Lissu atafanya Kazi kiushirikiano zaidi na Heche

    Hizo ndio hesabu zinapigwa Chadema kwa sababu Nyota ya John Heche inang'aa Sana Hivyo anaangaliwa nani ni Pacha wa Heche Kati ya Mbowe au Lissu Wenje na Mahela yake Mfumo umemtupa nje bila kutarajiwa Ahsanteni Sana 😂
  20. M

    Pre GE2025 Nashauri Kanisa liingilie kati kuinusuru CHADEMA

    Huu ndio ushauri wangu Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi. Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani...
Back
Top Bottom