Kesi imesikilizwa tunasubiri hukumu. Mawakili wa Lissu wanafuata nini gerezani, kuna siri gani hawataki isikike?

Kesi imesikilizwa tunasubiri hukumu. Mawakili wa Lissu wanafuata nini gerezani, kuna siri gani hawataki isikike?

Kuhusu nani kaua tusubiri taarifa ya tume. Script ya chadema ilikuwa inaagiza kuvamia vutuo vya polisi na kupora silaha na sare za polisi. Sasa hatujui kupora silaha na sare za polisi kulikuwa na faida zipi kwa wafanya vurugu. Tusbiri tupate details.
Hiyo script ya CDM uliipata wapi?Share na sisi tupate maarifa kama Yako!
Tume aliyoanzisha yeye,ije imkaange yeye?Utakuwa mgeni nchi hii!
Sa100 alisema uchunguzi wa kifo Cha kibao uko pazuri,hiyo ni 2024,mpaka Leo tunaelekea 2027 kimya!Wauaji Toka lini wakajichunguza?
No wonder yalipelekwa mabadiliko ya Sheria usalama wa Taifa(genge la Watekaji na Wauaji) wakapewa Kinga!
 
Gentleman,
mtuhumiwa wa uhani ambae shauri lake tayari limesikilizwa mwanzo mwisho,
na anaesubiri hukumu tu, hana nafasi wala fursa ya kuonana hata na mke wake tu, sembuse hao mawakili alio wakana kabla? Kuonana na wakili au mkewe ni hadi baada ya hukumu, na iko hivyo kitaifa na kimataifa.

Nenda kawaambie na wafuata mkumbo wenzako kuhusu jambo hili muhimu na itapendeza zaidi :NoGodNo:
Basic principle inasema Kila mtu Hana hatia mpaka itakapothibitika ana hatia!Kusubiri hukumu ni Nini?Watu wako kwenye death raw na bado wanaonana na mawakili wao,wewe unaongea ujinga gani?
Mahakama ni wajinga mpaka watoe hiyo order?Kwanini upande wa pili waseme wana Nia ya kukatia rufaa hukumu?
Hapa maana yake wanataka kumnyima hiyo haki mpaka rufaa isikilizwe,hii wana buy time maana Wanajua by then hukumu ya kesi ya msingi itakuwa imetokea hivyo rufaa haitakuwa na maana tena!
Tumieni bongo zenu kufikiri,hata kama umeshaonesha una chuki na Lissu,Tafuta mantiki ya kuonesha chuki Yako!Sio kwa kuforce uongo!
 
sio kwa mtuhumiwa wa uhani gentleman,
na ndio maana hata sell yake ni tofauti na wahalifu wengine. :1Head:
Aisee we jamaa,unajitahidi sana kujitoa ufahamu!Walau Tafuta logic ili ukiwa unamkandamiza unayemchukia,ionekana hapa Kuna kaukweli,ila sio Hivi!
Inamaana umesahau mwanzoni aliwekwa selo Moja na waliohukumiwa vifungo vya maisha(Wauaji),mpaka akaja mahakamani kulalamika yeye ni mtuhumiwa,inakuwaje anatendewa hayo huko magereza?Ndipo hapo yakafanyika mabadiliko!
Leo wewe hapa unatengeneza taswira kwamba kesi yake ya Uhaini ndio sababu ametengewa selo!
Chuki Yako kwa Lissu ni kubwa sana Kuliko kawaida,angalia isijekuathiri afya Yako!
Ikitokea akaachiwa huru,unaweza kudondoka kwao pressure!
 
Uchunguzi wa kifo cha Kibao ni mgumu kidogp kwakuwa inasemekana kauliwa na chadema wenyewe katika kujustify sababu za kufanya mapinduzi na kupata msaada wa kuipindua serikali. Kuna mtu alimtaja Mnyika lakini sio Mnyika wala chadema aliyekanusha wala kumchukulia hatua aliyemtaja Mnyika.

KEnge na mamba wote wanaishi ziwani, kama kenge akikwambia mamba anaumwa wewe huwezi kubisha. Dr. Slaa kasema na kuandika kitabu kabisa kuwa chadema wanaendesha mauaji.
 
Uchunguzi wa kifo cha Kibao ni mgumu kidogp kwakuwa inasemekana kauliwa na chadema wenyewe katika kujustify sababu za kufanya mapinduzi na kupata msaada wa kuipindua serikali. Kuna mtu alimtaja Mnyika lakini sio Mnyika wala chadema aliyekanusha wala kumchukulia hatua aliyemtaja Mnyika.

KEnge na mamba wote wanaishi ziwani, kama kenge akikwambia mamba anaumwa wewe huwezi kubisha. Dr. Slaa kasema na kuandika kitabu kabisa kuwa chadema wanaendesha mauaji.
Kwahiyo akiuliwa na Chadema uchunguzi ndio unakuwa mgumu?Angeuliwa na nani ndio uchunguzi usingekuwa mgumu?Hao CDM kweli waende na conyoy,wablock basi,then waingie wamteke kibao watokomee naye!Inawezekanaje?
Halafu alivyouwawa,Sa100 anasema kifo ni kifo tu!Hapo hapo akasema uchunguzi umefikia pazuri,hiyo ni 2024!Mpaka Leo huo uchunguzi uliokuwa umefikia pazuri uko wapi?Acheni kudhani Kila mtu hazimo kichwani,unashindwa kuunganisha dots hapo!
Twende kwa Djumbe,msaidizi wa Lissu aliyetekwa,boda boda wakaiungia gari iliyomteka,wale jamaa walivyoona hivyo wakashuka wakaanza kupiga risasi hewani kuwatisha boda warudi,ndio hapa Djumbe akapata gap akaruka na kukimbilia porini akiwa na Pingu!Mpaka anafika hospital alikuwa na Pingu na amejeruhiwa vibaya kwa kipigo!Pingu alifunguliwa na jeshi la polisi na likasema litachunguza!Mpaka Leo,una taarifa zozote hizo Pingu zinatumiwa na mamlaka gani?Au uchunguzi umefika wapi?
Tukio la Lissu kupigwa risasi eneo lenye ulinzi,mpaka Leo kuna hata mtuhumiwa?

Unakumbuka Zakaria alivyotaka kutekwa,akaona hawezi kuchukuliwa kizembe!Akamwaga risasi,kumbe waliotaka kumteka ni maafisa usalama na aliwajeruhi kweli!

Mdude Nyangali?Ben saanane na wengineo!Roma je?

Mpaka hapo,unahitaji akili gani kuwajua Watekaji?

Usalama wa Taifa kuhamishiwa chini ya ofisi ya Rais na kupewa Kinga ya mashtaka dhidi yao haikuja kwa bahati mbaya!

Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) nchini Tanzania (Sura ya 406, iliyorekebishwa na The Tanzania Intelligence and Security Service (Amendment) Act, 2023) inatoa kinga ya kisheria kwa maafisa na watumishi wa idara hiyo. [1, 2]

Vipengele Muhimu vya Kinga Hii
    • Kinga dhidi ya Mashitaka: Sheria inatoa kinga kwa maafisa na wafanyakazi wa Usalama wa Taifa wanapotekeleza au kushindwa kutekeleza jambo fulani kwa nia njema (in good faith) wakati wa utendaji wa kazi zao. [1]
    • Usimamizi wa Moja kwa Moja na Rais: Mabadiliko ya mwaka 2023 yaliweka idara hiyo chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania badala ya Wizara iliyokuwa ikisimamia awali. [1, 2]
    • Mijadala ya Kisheria na Kikatiba: Masharti haya ya kinga yamekuwa chanzo cha mijadala miongoni mwa wanasheria na wanaharakati, wakidai kuwa yanapunguza uwajibikaji wa maafisa wa usalama na kuleta mkinzano na misingi ya usawa wa watu mbele ya sheria kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977
 
kwani kesi huwa inaishia mahakama kuu au mahakama ya rufaa? je mtuhumiwa haruhusiwi kujiandaa kwa ngazi inayofuata?
 
Unatindinganya mambo. Hii kesi is so special. Usiri kati ya ndugu, maragiki au mawakili wa mahabusu unaweza kuleta madhara kwa ama mahabusu, raia/wakili au usalama wa taifa.

Mambo yametinganywa yapi?
Wewe ndo unaleta u-special ambao sheria na kanuni za nchi haina.
Sheria haijali hisia zako wala haina uchawa, ni vifungu na vipengele ndo vinaongea,,,
Kama una kifungu kitoe acha malilio.
 
mtuhumiwa wa uhaini ambae anasubiria hukumu hakua na wakili na alijitetea mwenyewe. Drama gerezani haziwezi kumsaidia, in fact ni hot air.

na kwakua tuhuma zinazomkabili ni nzito na zenye kuhatarisha umoja, amani na usalama wa taifa, mtuhumiwa huyo anaesubiri hukumu, anafaa kukaa upweke akisubiri hukumu pekee na sio kuruhusu kufanya porojo na mawakili ambao aliwakataa tangu mwanzo tena kwa dharau kubwa sana.

Magereza wasije kuruhusu madai useless ya huyo kibaraka mropokaji kwa namna yoyote ile 🐒
pliz gentromeni,,,
acha pang'ang'a, kifungu kinajibiwa na kifungu..
waliotunga sheria wana akili timamu, huo uzito na hatari unaleta wewe ...

Nafkiri nyie ndo mnajibu watu humu kuwa "SHERIA IACHWE IFANYE KAZI KWA MSUSIA UCHAGUZI"... inakuaje nyie hao hao mnaipangia tena sheria la kufanya? AI WANDA..
 
pliz gentromeni,,,
acha pang'ang'a, kifungu kinajibiwa na kifungu..
waliotunga sheria wana akili timamu, huo uzito na hatari unaleta wewe ...

Nafkiri nyie ndo mnajibu watu humu kuwa "SHERIA IACHWE IFANYE KAZI KWA MSUSIA UCHAGUZI"... inakuaje nyie hao hao mnaipangia tena sheria la kufanya? AI WANDA..
Gentleman,
maelezo yangu mahususi ndio sheria dhidi ya watuhumiwa uhaini waliojitetea kibinafsi bila wakili na wanaosubiri hukumu kote ulimwenguni.

waarifu na wenzako kuhusu hili na itapendeza zaidi 🐒
 
Gentleman,
maelezo yangu mahususi ndio sheria dhidi ya watuhumiwa uhaini waliojitetea kibinafsi bila wakili na wanaosubiri hukumu kote ulimwenguni.

waarifu na wenzako kuhusu hili na itapendeza zaidi 🐒
Itoshe kusema umesomeka gentromeni umekuwa hoja-less .. mjadala umeisha..

Tuendelee na zile zingine za kuwajaza ujinga misukule huku hupawezi, hapataki tungo mpya maana misaafu ilishatungwa na wenye uwezo wa kurekebisha wapo 😂😂😂😂
 
Itoshe kusema umesomeka gentromeni umekuwa hoja-less .. mjadala umeisha..

Tuendelee na zile zingine za kuwajaza ujinga misukule huku hupawezi, hapataki tungo mpya maana misaafu ilishatungwa na wenye uwezo wa kurekebisha wapo 😂😂😂😂
sawa,
sasa tuendelee kugoma kula ugali na itapendeza zaidi 🐒
 
Back
Top Bottom