TIMU BIKIRA : KAMA WEWE NI TIMU BIKIRA,ACHA KULA MBUSUSU KABLA HUJAOA.

TIMU BIKIRA : KAMA WEWE NI TIMU BIKIRA,ACHA KULA MBUSUSU KABLA HUJAOA.

Zerock

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2026
Posts
853
Reaction score
1,701
Kuna vijana wengi wanajifanya ni timu BIKIRA.
Ukweli ni kwamba, sahivi hakuna kijana ambaye ni timu BIKIRA.

Vipi utajiita timu BIKIRA wakati una demu kila uchochoro,ajabu unatongoza hadi wake wa watu.

Huyo binti unayemchanyata kila siku anafikiri ni nani atakuja kumuoa, kumbuka malaya wa kiume atamuoa malaya wa kike.

Mitaa yote wanakujua kwa kupita na vitoto vya kike vya kila aina, halafu ukishamaliza haja zako unadai unatak uowe mwanamke BIKIRA.

Kama unajua wewe ni timu BIKIRA acha kula mbususu kabla ya kuoa.
 
Bikra ipi unazungumzia maana ziko nyingi?
Bikra latifah sio sawa na bikra hellena
 
huwezi kuvunja bikira kama hujawahi kufanya mapenzi kabla, mwanaume kuwa na wapenzi wengi anakuwa anatafuta uzoefu ataotumia akipata hiyo bikira
 
Fact kabisa ili ngoma ianze bila bila ili musiwaze kuchepuka mjue ladha ndo ileile
 
huwezi kuvunja bikira kama hujawahi kufanya mapenzi kabla, mwanaume kuwa na wapenzi wengi anakuwa anatafuta uzoefu ataotumia akipata hiyo bikira
Hayo ni mawazo yako,
 
wanaume saivi kitoto kidogo tu kishaanza kuhangaika na mavibimti mtaani unafikiri mpaka umri wa kuoa itakuwaje
Nyege za 2000 nadhani zimepanda, kuliko za mwaka 90...... sasa kama kila binti anavaa nusu uchi tunawalaumu tu vijana bure
 
Back
Top Bottom