wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachawi hawawezi ingia strong room ya benki wakachote pesa ila wanakufuatilia wewe unaelala na madumu ya maji, mandoo na gesi chumbani kimoja

    Waturutumbi jibuni maswali simple Kwanini mnawaonea sana watu wenye uchumi wa mandoo ndoo.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume ushawahi kuwa kwenye mahusiano na mdada ambae unaona yupo na wewe kimwili, ila kimoyo hayupo na wewe?

    Habarini, Unakuwa kwenye relationship na mdada, ila unahisi uko lonely kwenye hio relationship, papuchi unapewa, ila ukiongea na huyo mdada unaona kabisa kwenye maono ya kimaisha ya huyo mdada, wewe mwanaume haupo. Unaona kabisa hapa unapewa papuchi kwasababu yupo desperate kipesa, ila angekua...
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wewe kijana Acha Upuuzi wa Kupoteza Muda, Amka Upige Pesa!

    wanangu, hebu tusidanganyane hapa mtaani. Maisha ya sasa hayana pause wala rewatch, yanakwenda mbio kuliko sana. Unajikuta kijana unakomaa kutwa nzima kwenye vijiwe vya kahawa unajadili mipango ya mpira au unapoteza data kusubiri miujiza kwenye mitandao ya kijamii wakati mfuko wako unasoma zero...
  4. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Akifanya hivi mzungu mtasema "waoh, delicious", ila mimi wa majohe mtaniandikia "tafuta hela wewe"

  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uwezi kutoa siku za ikulu ikabaki salama,R.I.P Mzee.

    Nina kusihii wewe aliyeenda nae ikulu mkaketi, uwe makini sana la sivyo watapita na wewe kama walivyopita nae chapu. Nakushii kuwa makini sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kaa ukijua malipo yapo. Unavyowatesa wengine yatakurudia wewe, na yasipokupata, kizazi chako hakitapata amani kikikutana na kizazi cha uliowatesa

    Kaa ukijua kuwa malipo yapo duniani. Unavyowatesa wengine leo, kuna siku unaweza kukutana na matokeo ya matendo yako. Na kama wewe hutayashuhudia, huenda kizazi chako kikakutana na matokeo ya maumivu uliyowasababishia wengine. Usimdharau mtu kwa sababu leo hana nguvu ya kukulipa. Usimnyanyase...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ukigombana na mke au mpenzi wako. Kisha wewe ukaamua kuumaliza ugomvi vipi huwa unafanikiwa?

    Iko hivi kuna wakati ukitokea ugomvi mimi na mke wangu haijalishi ni mm nimekosa au yeye kakosea ila nikisema ninchukie au nisimsemeshe hata wiki yeye naona wala hajali japo anateseka moyoni. Ila nikisema niumalize ugomvi siku hiyo hiyo au hata tumegombana usiku kisha nikasema nataka tupatane...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania anapaswa kuwa na huruma na Lissu. Hata mke wake hajawahi kwenda kumuona gerezani

    Ndugu zangu Watanzania, Kama wewe ni Mzalendo wa kweli wa Taifa hili na unayependa Amani na usalama wa Taifa hili kwa Tanzania bora ya leo na kesho basi hupaswi hata kidogo hata chembe kuwa na huruma na Lissu. Hakuna Mtanzania Anapaswa hata kupoteza muda kumuombea Lissu. Hii ni Kwa kuwa mtu...
  9. haszu

    JamiiForums Tanzania Kama unafika sehemu au unapita na watu hawakuangalii mara mbilimbili au kushtuka, basi wewe unamuonekano wa kawaida sana na hata kuvaa hujui

    Mimi nikipita sehemu lazima watu watashtuka kidogo, na huwezi niangalia mara moja, utageuka tu mara ya pili, wote wanaume na wanawake. mwanzoni nilikua nashtukia lakini baada ya kujua ni muonekano wangu bas sasa nimeshazoea. Na asio kua weupe unanibeba, hapana, ila kuna ile hali ya kua na...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nasra Mohamed (M/kiti UVCCM – Dar): Kiongozi anayewatisha Vijana tutakushugulika naye, hatutakuogopa, upendwe na kila mtu wewe Pesa!

    “Kuna kiongozi anatishia UVCCM tutakushugulikia hatutakuogopa, unataka upendwe na kila mtu umekuwa Pesa.?” - NASRA MOHAMED - Mwenyekiti wa UVCCM DSM.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Umejiandaaje na project gani na wewe kupata mgao wa bilioni 700 za El Nino? Sisi tunarekebisha madaraja!

    Bilioni 730 za El Nino ije is8je lazima "zitafunwe". Wewe umebuni mradi gani? Safisha mitaro, rekebisha madaraja, chimba mitaro mipya kuchepusha maji, bomoa nyumba zilizo karibu na njia za maji, mabinde, mito etcetc. BUNI MRADI
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ukiichafua Tanzania utachafuka wewe kwanza. Hongera Jihan

    Hebu ona Tanzania inavyong'arishwa na huyu dada kama dhahabu matopeni. Hongera Jihan. Watanzania wenzangu hatuna kwetu kwingine ila hapa. Tushindane kupasafisha panukie sio kupachafua panuke. Haipendezi watanzania kama hawa wanahangaika kuipamba na mwingine anapambana kuichafua. Lazima tuwe...
  13. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Yohanna Mbatizaji (John The Baptist) ndie aliekuwa nabii wa mwisho na hakuna alietokea tena kuwa nabii. Kuwa makini wewe Mkristo na manabii wa mchongo

    Usiwaite watu nabii kisa wengine wanawaita. Usijiunganishe na mdhabahu yao maana hujui ni manabii wa miungu ipi. Siku njema
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi yafaa kujiuzulu TLS, nimekuwa nikihoji uhalali wa wewe kuwa ofisini sasa nitaeleweka

    Hizo shutuma tu za kufadhili machafuko nchini zinakuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Nadhani ni matokeo ya kuchagua watu kwa mihemko...mm binafsi nilipinga kabisa Mwabukusi kuwa kiongozi. Mawakili mlitukosea Sana watanzania kwa kumchagua huyu jamaa. Lakini mimi nimekuwa nikihoji sifa za kielimu...
  15. youngkato

    JamiiForums Tanzania Wengine wanavuna asali, wengine wanatengeneza pesa kwa kuiuza — wewe upo upande gani?

    Je, unajua kwamba unaweza kuingiza kipato kizuri kupitia biashara ya asali hata kama humiliki mzinga mmoja wa nyuki? Hebu fikiria jambo hili. Mfanyabiashara mmoja ananunua asali kutoka kwa wafugaji wa nyuki mkoani Tabora, anaichuja, anaifungasha vizuri kwenye chupa zenye lebo, kisha anaiuza...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rafiki yako anayetembea na mke/mume wa mtu. Usimuamini. Huna Rafiki hapo. Ni wazi hata mkeo/mumeo anatoka naye. Wewe ndio hujui tuu.

    Hamjambo! Unajua kabisa. Rafiki yako. Unayemuamini. Unayemuambia siri zako. Anayejua mambo yako. Ukamkuta anayembea na mke au mume wa mtu. Tena mnapiga na stori kabisa. Inawezakuwa unamwambia anafanya ndivyo sivyo. My friend. Huyo sio Rafiki. Sisi Watibeli. Wazee wa kazi. Wanasaikolojia...
  17. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania wewe na mpenzi wako mna muda gani kwenye mahusiano? nini kinawazuia kufunga Ndoa? je kukaa muda mrefu kwenye mahusiano ndo msingi wa ndoa imara?

    nmekuja kugundua mahusiano ni magumu sana huku kwa ground aisee. pamoja na kuwa ni magumu ila kuna couples huku kwa ground zipo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 7 wengine mpaka 10. nina rafiki yangu mmoja yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake mwaka wa 7 huu kila nikimuuliza mahari tunapeleka...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yako anaweza kukutetea hata kama anajua wewe ndiye mkosaji?

    Kuna baadhi ya marafiki wanateteana kwa kila kitu mpaka ujinga, akikuta rafiki yake ana msala atasimama kutetea hata kama anajua rafiki ndiye mkosa kisha atamlaumu baadaye tatizo likiisha. Umewahi kupata rafiki kama huyo?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mke wako azae mtoto mmoja na tajiri, Wewe mume ulipwe Bilioni 1 utamruhusu Mkeo?

    Wanaume, ukisikia mke wako anatongozwa na tajiri mmoja wa mji, tajiri akimtaka mke wako aingie naye kwenye mahusiano na kuzaa naye mtoto mmoja, ila wakati wa mazungumzo yanakuwa kama siri kwao wewe unayasikia tu kwa bahati mbaya. Ila yule tajiri anamwambia mkeo, ukikubali, nitawabadilishia...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unapaka mafuta ya Jero alafu mpenzi wako umemnunulia mafuta ya 50k. Jipige kifua jiite wewe ni msukule.

    Hamjambo! Kujitambua ni pamoja na kutunza uliyonayo. Akili yako, hisia zako, roho yako, mwili wako. Na mengineyo. Ngozi yako ni sehemu ya baraka ulizopewa. Hivi kweli ngozi yako thamani yake ni kuipaka mafuta ya jero au mafuta ya kula? Mafuta ambayo sio ya ngozi unapakaje kwenye ngozi yako...
Back
Top Bottom