Umejiandaaje na project gani na wewe kupata mgao wa bilioni 700 za El Nino? Sisi tunarekebisha madaraja!

Umejiandaaje na project gani na wewe kupata mgao wa bilioni 700 za El Nino? Sisi tunarekebisha madaraja!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Bilioni 730 za El Nino ije is8je lazima "zitafunwe". Wewe umebuni mradi gani?
Safisha mitaro, rekebisha madaraja, chimba mitaro mipya kuchepusha maji, bomoa nyumba zilizo karibu na njia za maji, mabinde, mito etcetc.

BUNI MRADI
 

Attachments

  • VID-20261019-WA0010.mp4
    10.2 MB
Nimeandaa mradi wa miamvuli watu kujikinga na jua na shower za watu kujipooza mtaani maana nasikia sio mvua ni kutakuwa na jua la kufa mtu
 
Back
Top Bottom