instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Hizo shutuma tu za kufadhili machafuko nchini zinakuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Nadhani ni matokeo ya kuchagua watu kwa mihemko...mm binafsi nilipinga kabisa Mwabukusi kuwa kiongozi.
Mawakili mlitukosea Sana watanzania kwa kumchagua huyu jamaa.
Lakini mimi nimekuwa nikihoji sifa za kielimu za huyu jamaa nilikuwa na maana yangu, niliona amekosa credibility za kuwa kiongozi, kauli zake hazikuwa na afya ya kiongozi mzalendo ona sasa haya yanajidhihirisha
Leo, anashutumiwa kufadhiri vurugu nchini. Huyu ni gaidi aliyejificha kwenye muavuri wa uongozi yafaa akae rumande bila dhamana
Mwabukusi Tunaomba uachie Ofisi hufai kuwa ofisini kuanzia Leo tar 15/10/2026