Mwabukusi yafaa kujiuzulu TLS, nimekuwa nikihoji uhalali wa wewe kuwa ofisini sasa nitaeleweka

Mwabukusi yafaa kujiuzulu TLS, nimekuwa nikihoji uhalali wa wewe kuwa ofisini sasa nitaeleweka

"Mitandao ya kijamii imewapa sauti genge kubwa la wapumbavu ambao hapo awali walizungumza tu kwenye vilabu vya pombe na vijiwe vya udaku—baada ya kugonga mvinyo na hashishi—bila kuiletea jamii madhara yoyote. Hapo zamani walinyamazishwa papo hapo, lakini leo hii wamepewa haki sawa ya kuzungumza masuala nyeti na kusikilizwa kama vile washindi wa Tuzo ya Nobel. Huu ni uvamizi wa wapumbavu." – Umberto Eco
 
Mwabukusi alichaguliwa kwa kura za wazi ukumbini na wanasheria waliokidhi vigezo.

Wanasheria hao waliomchagua ndio wanalo jukumu la kumuondoa kama wameona hafai na sio wewe chawa wa Abdul na mwalimu kilaza.

Hadi sasa sijaona wala kusikia mwanasheria aliyejitokeza kutoa petition ya Mwabukusi kuondolewa kitini kwa kuvunja kanuni na taratibu za chama hicho.

Wewe ni mwalimu , fuatilia kule kwenye chama chenu cha walimu mnatapeliwa $20 bila kujua zinakwenda wapi, pambaneni mfumue uongozi wenu uliogeuka tarumbeta la CCM mambo ya wanasheria waachie wanasheria.

 
"Mitandao ya kijamii imewapa sauti genge kubwa la wapumbavu ambao hapo awali walizungumza tu kwenye vilabu vya pombe na vijiwe vya udaku—baada ya kugonga mvinyo na hashishi—bila kuiletea jamii madhara yoyote. Hapo zamani walinyamazishwa papo hapo, lakini leo hii wamepewa haki sawa ya kuzungumza masuala nyeti na kusikilizwa kama vile washindi wa Tuzo ya Nobel. Huu ni uvamizi wa wapumbavu." – Umberto Eco
Kwahiyo na wewe sahizi ungekuwa unakula komoni kilabuni
 
Mwabukusi alichaguliwa kwa kura za wazi ukumbini na wanasheria.

Wanasheria hao waliomchagua ndio wanalo jukumu la kumuondoa kama wameona hafai na sio wewe.

Hadi sasa sijaona wala kusikia mwanasheria aliyejitokeza kutoa petition ya Mwabukusi kuondolewa kitini kwa kuvunja kanuni na taratibu za chama hicho.

Wewe ni mwalimu , fuatilia kule kwenye chama chenu cha walimu mnatapeliwa $20 bila kujua zinakwenda wapi, pambaneni mfumue uongozi wenu uliogeuka tarumbeta la CCM mambo ya wanasheria waachie wanasheria.

Ni kura za kukurupuka
 
Hizo shutuma tu za kufadhili machafuko nchini zinakuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Nadhani ni matokeo ya kuchagua watu kwa mihemko...mm binafsi nilipinga kabisa Mwabukusi kuwa kiongozi.

Mawakili mlitukosea Sana watanzania kwa kumchagua huyu jamaa.

Lakini mimi nimekuwa nikihoji sifa za kielimu za huyu jamaa nilikuwa na maana yangu, niliona amekosa credibility za kuwa kiongozi, kauli zake hazikuwa na afya ya kiongozi mzalendo ona sasa haya yanajidhihirisha

Leo, anashutumiwa kufadhiri vurugu nchini. Huyu ni gaidi aliyejificha kwenye muavuri wa uongozi yafaa akae rumande bila dhamana

Mwabukusi Tunaomba uachie Ofisi hufai kuwa ofisini kuanzia Leo tar 15/10/2026
Na mkinyonga Lissu, anachukua kiti Mwabukusi! Hakuna kupoa.
 
Tena ikiwezekana aondolewe hata Kwa nguvu tu

TLS sio chama cha machawa wewe mjane, mtu hawi rais wa TLS bila vigezo hapo hakuna masuala ya nguvu kama mnayotumia kwenye uchawa kutunga uongo.

Taja kanuni au taratibu moja ya TLS aliyovunja Mwabukusi hadi kupelekea kuona anafaa kuondolewa.
 
To you nani ni kiongozi? Mwaipopo?

And ujue TLS ni taasisi sio duka la mangi, sasa ww mpori pori unahoji elimu ya mtu ambae anawakilisha taasisi kama ile means wengine wote hawana akili ya kuchambua sifa za mtu isipokuwa ni ww tu
Kwani kujua elimu ya mtu Kuna shida Gani.... kwasababu tabia na Maadili yake yanaonyesha hana elimu yyte
 
Back
Top Bottom