instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
- Thread starter
- #101
Anamakosa ya kimaadili ofs ya uuma haiwezi kukaliwa na gaidiNaona impunity ndio inayotusumbua Tanzania.Mwabukusi ni Rais wa TLS waliomchagua ni mawakili je wamesema hawamtaki?.Sema sishangai Tanzania ya sasa inaongozwa sawasawa na uongozi wa Putin lakini tunasahau kuwa Putin alivuna kwanza alipoona madaraka yanakaribia kuisha akaanza impunity ili atawale milele.