Mwabukusi yafaa kujiuzulu TLS, nimekuwa nikihoji uhalali wa wewe kuwa ofisini sasa nitaeleweka

Hizo shutuma tu za kufadhili machafuko nchini zinakuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Nadhani ni matokeo ya kuchagua watu kwa mihemko...mm binafsi nilipinga kabisa Mwabukusi kuwa kiongozi.

Mawakili mlitukosea Sana watanzania kwa kumchagua huyu jamaa.

Lakini mimi nimekuwa nikihoji sifa za kielimu za huyu jamaa nilikuwa na maana yangu, niliona amekosa credibility za kuwa kiongozi, kauli zake hazikuwa na afya ya kiongozi mzalendo ona sasa haya yanajidhihirisha

Leo, anashutumiwa kufadhiri vurugu nchini. Huyu ni gaidi aliyejificha kwenye muavuri wa uongozi yafaa akae rumande bila dhamana

Mwabukusi Tunaomba uachie Ofisi hufai kuwa ofisini kuanzia Leo tar 15/10/2026
We ni miongoni mwa watanzania wachache wenye akili, huyo lofa mvuta bangi anatumia TLS jukwaa la kufanyia siasa za chadema, nimewadharau mawakili wote nchi hii kasoro wale wa serikali. Watu wenye akili timamu hawawezi kumchagua huyo mwehu
 
Kila anakosoa CCM anapewa kesi uhaini, ugaidi au anashinikizwa ajiuzulu. CCM ni wajinga!
 
Wewe umejiuzulu uchawa wa kusifia wanaume wenzio?
 
Hizo shutuma tu za kufadhili machafuko nchini zinakuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Nadhani ni matokeo ya kuchagua watu kwa mihemko...mm binafsi nilipinga kabisa Mwabukusi kuwa kiongozi.

Mawakili mlitukosea Sana watanzania kwa kumchagua huyu jamaa.

Lakini mimi nimekuwa nikihoji sifa za kielimu za huyu jamaa nilikuwa na maana yangu, niliona amekosa credibility za kuwa kiongozi, kauli zake hazikuwa na afya ya kiongozi mzalendo ona sasa haya yanajidhihirisha

Leo, anashutumiwa kufadhiri vurugu nchini. Huyu ni gaidi aliyejificha kwenye muavuri wa uongozi yafaa akae rumande bila dhamana

Mwabukusi Tunaomba uachie Ofisi hufai kuwa ofisini kuanzia Leo tar 15/10/2026
Naona machawa mpewa script mpya.
 
Mwabukusi syo kiongozi hana sifa za kuwa kiongozi kuanzia elimu yake mpaka tabia zake hazina maadili ya uongozi
Ila aliyeko madarakani kwa mauaji na kura 31m za uongo huyo ana maadili. Bado hajamtengeneza ushahidi wa kubumba, mtatengeneza sana, ila wajinga walishaisha.
 
Nadhani utumishi wa mwabukusi umekoma Leo. Ofs haiwezi ikakaliwa na mtu anayefadhiri machafuko huyo ni gaidi tena zaidi ya gaidi
 
Ni kweli, hata CAG Asaad alitolewa kihuni hivyo hivyo enzi za dhalimu magu, na tulisema ule ni ulevi wa madaraka wa Magufuli. Juzi mahakama ya simu moja kwa kuchelewa imekiri kile tulichokuwa tunasema siku zote. Hata sasa hamfanyi jipya, bali ni mbinu hizo hizo outdated dhidi ya wasiomsujudia rais. Mtawaokota mazoba.
 
Hizo shutuma tu za kufadhili machafuko nchini zinakuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Nadhani ni matokeo ya kuchagua watu kwa mihemko...mm binafsi nilipinga kabisa Mwabukusi kuwa kiongozi.

Mawakili mlitukosea Sana watanzania kwa kumchagua huyu jamaa.

Lakini mimi nimekuwa nikihoji sifa za kielimu za huyu jamaa nilikuwa na maana yangu, niliona amekosa credibility za kuwa kiongozi, kauli zake hazikuwa na afya ya kiongozi mzalendo ona sasa haya yanajidhihirisha

Leo, anashutumiwa kufadhiri vurugu nchini. Huyu ni gaidi aliyejificha kwenye muavuri wa uongozi yafaa akae rumande bila dhamana

Mwabukusi Tunaomba uachie Ofisi hufai kuwa ofisini kuanzia Leo tar 15/10/2026
Walioua mamia awajajiuzulu mbona kila mtu ashinde mechi zake
 
Ni kweli, hata CAG Asaad alitolewa kihuni hivyo hivyo enzi za dhalimu magu, na tulisema ule ni ulevi wa madaraka wa Magufuli. Juzi mahakama ya simu moja kwa kuchelewa imekiri kile tulichokuwa tunasema siku zote. Hata sasa hamfanyi jipya, bali ni mbinu hizo hizo outdated dhidi ya wasiomsujudia rais. Mtawaokota mazoba.
Kesho TLS haina kiongozi hatuwezi tukawa na kiongozi anayefadhiri machafuko badala ya kuwajengea ustawi wananchi
 
Hizo shutuma tu za kufadhili machafuko nchini zinakuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Nadhani ni matokeo ya kuchagua watu kwa mihemko...mm binafsi nilipinga kabisa Mwabukusi kuwa kiongozi.

Mawakili mlitukosea Sana watanzania kwa kumchagua huyu jamaa.

Lakini mimi nimekuwa nikihoji sifa za kielimu za huyu jamaa nilikuwa na maana yangu, niliona amekosa credibility za kuwa kiongozi, kauli zake hazikuwa na afya ya kiongozi mzalendo ona sasa haya yanajidhihirisha

Leo, anashutumiwa kufadhiri vurugu nchini. Huyu ni gaidi aliyejificha kwenye muavuri wa uongozi yafaa akae rumande bila dhamana

Mwabukusi Tunaomba uachie Ofisi hufai kuwa ofisini kuanzia Leo tar 15/10/2026
Naona impunity ndio inayotusumbua Tanzania.Mwabukusi ni Rais wa TLS waliomchagua ni mawakili je wamesema hawamtaki?.Sema sishangai Tanzania ya sasa inaongozwa sawasawa na uongozi wa Putin lakini tunasahau kuwa Putin alivuna kwanza alipoona madaraka yanakaribia kuisha akaanza impunity ili atawale milele.
 
Mwabukusi bado Kuna vitu anahitaji kujifunza nje ya theory za shule...utoto utoto mwingi sana bado na kuamini he is best of the best kupitia theory za darasani na lundo za vitabu vya Sheria alivyosoma..

Bahati mbaya Dunia Iko tofauti sana na upeo wake wa theory za darasani na story za vijiweni pale mwanjelwa na mafiati.

ndani ya viunga vya Sanaa - Yemeni.
 
Back
Top Bottom