Mwabukusi yafaa kujiuzulu TLS, nimekuwa nikihoji uhalali wa wewe kuwa ofisini sasa nitaeleweka

Mwabukusi yafaa kujiuzulu TLS, nimekuwa nikihoji uhalali wa wewe kuwa ofisini sasa nitaeleweka

Nchi ina wapuuzi na wanafiki sana hii, shida na changamoto zote hizi unaanza kumjadili Mwabukusi bila hata hoja za msingi zaidi ya kuandika propaganda za majitaka tu
Nilianza kuhoji sifa za kielimu za mwabukusi nikahoji sifa za kimaadili za mwabukusi kumbe nilikuwa sahihi ona sasa anashutumiwa kufadhiri vurugu nchini..... hovyo kabisa
 
Nchi ina wapuuzi na wanafiki sana hii, shida na changamoto zote hizi unaanza kumjadili Mwabukusi bila hata hoja za msingi zaidi ya kuandika propaganda za majitaka tu
Hivi wanadhani hizi hoja mfu Huwa zinafanya kazi Kwa watu wanaojitambua?
 
Umehama kwenye michango ya chadema now uko kwa mwabukusi

Mnataka kila mtu ajiuzulu ili mbakie na mazombi tu au sio?

Basi wekeni sumu mto ruvu pale ili watu wote wafe mmbakie nyie tu
UTAPELI wa chadema nitaendelea kusema siku zote
 
Mwabukusi syo kiongozi hana sifa za kuwa kiongozi kuanzia elimu yake mpaka tabia zake hazina maadili ya uongozi
Nilikuwa namuona Lucas ni zezeta ila wewe umemzidi Lucas uzezeta🙌hivi wewe na mwabukusi nani wa kumhoji mwenzie elimu? Inashangaza sana kusikia kuwa wewe ni Mwalimu😀
 
Hizo shutuma tu za kufadhili machafuko nchini zinakuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Nadhani ni matokeo ya kuchagua watu kwa mihemko...mm binafsi nilipinga kabisa Mwabukusi kuwa kiongozi.

Mawakili mlitukosea Sana watanzania kwa kumchagua huyu jamaa.

Lakini mimi nimekuwa nikihoji sifa za kielimu za huyu jamaa nilikuwa na maana yangu, niliona amekosa credibility za kuwa kiongozi, kauli zake hazikuwa na afya ya kiongozi mzalendo ona sasa haya yanajidhihirisha

Leo, anashutumiwa kufadhiri vurugu nchini. Huyu ni gaidi aliyejificha kwenye muavuri wa uongozi yafaa akae rumande bila dhamana

Mwabukusi Tunaomba uachie Ofisi hufai kuwa ofisini kuanzia Leo tar 15/10/2026
Kila anayekosoa serikali mnataka afe au apewe kesi ya Uhaini?
 
Nilikuwa namuona Lucas ni zezeta ila wewe umemzidi Lucas uzezeta🙌hivi wewe na mwabukusi nani wa kumhoji mwenzie elimu? Inashangaza sana kusikia kuwa wewe ni Mwalimu😀
Hanifikii hata robo tu
 
Back
Top Bottom