Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Iko hivi kuna wakati ukitokea ugomvi mimi na mke wangu haijalishi ni mm nimekosa au yeye kakosea ila nikisema ninchukie au nisimsemeshe hata wiki yeye naona wala hajali japo anateseka moyoni. Ila nikisema niumalize ugomvi siku hiyo hiyo au hata tumegombana usiku kisha nikasema nataka tupatane usiku huo huo na yanaisha kweli usiku huo huo haijalishi ugomvi ulukuwa wa aina gani.
Kuna siku alishanifumania nimetoka kumsaliti siku hiyo hiyo tukagombana kwelikweli. Ila baadae nikaamua kuomba msamaha na kukubali nimekosea na yakaisha usiku kwa usiku na chakula nikala.
Vipi kwako mdau ukiamua wewe yaishe huwa yanaisha kweli au nikuzima moto wa petroli kwa maji.