Mke wako azae mtoto mmoja na tajiri, Wewe mume ulipwe Bilioni 1 utamruhusu Mkeo?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Wanaume, ukisikia mke wako anatongozwa na tajiri mmoja wa mji, tajiri akimtaka mke wako aingie naye kwenye mahusiano na kuzaa naye mtoto mmoja, ila wakati wa mazungumzo yanakuwa kama siri kwao wewe unayasikia tu kwa bahati mbaya.

Ila yule tajiri anamwambia mkeo, ukikubali, nitawabadilishia maisha wewe na mume wako, mume wako nitampa deal ambalo litamuingia bilioni moja, na wewe nitakulipa fedha za kutosha kisha mtoto nitamuwekea fedha za kumtunzia mpaka atakapo kua, na mwisho nitamuweka kwenye Wosia kama mmoja wa warithi wa mali zangu.

Baada ya hapo unasikia mke akijibu, Siwezi kutoka na wewe kwani namheshimu mume wangu, siwezi kumsaliti, ukizingatia maisha yenu yanawawezesha kupata mahitaji muhimu tu ila siyo ya kiwango cha maana.

Je, Mume, utachukua uamuzi gani? Utaanza kumshawishi mkeo akubali kutoka na tajiri, au utamponeza kwa kukataa kuonesha umepata mke mwaminifu sana.
 
Mbona hizi mada za FB huko

Jaman tunaishusha Hazi Jamiiforums siku hizi sana.
Ndo Mana gani hizi?
Hivi majani ya mapera yangekuwa Hela wewe ungenunua Nini.

Kuna kipindi wakati naishi mtaani kule mwanza mimi na madogo wenzangu mida ya saa saba jua la utosi tuko pembeni mwa ziwa Viktoria hapo hatujala chochote tunatafuta vyuma tukauze tupate hela ya kula

Tulikuwa tunapiga hizi stori kwamba kama mawe yangekuwa mikate na yale maji ya ziwa Viktoria ndiyo chai 😁
Kwamba mchawi unaenda na jagi ziwani unachota tu halafu unaenda kuokota mawe ambayo ni mikate

Njaa mbaya sana
 
Wanaume, ukisikia mke wako anatongozwa na tajiri mmoja wa mji, tajiri akimtaka mke wako aingie naye kwenye mahusiano na kuzaa naye mtoto mmoja, ila wakati wa mazungumzo yanakuwa kama siri kwao wewe unayasikia tu kwa bahati mbaya.

Ila yule tajiri anamwambia mkeo, ukikubali, nitawabadilishia maisha wewe na mume wako, mume wako nitampa deal ambalo litamuingia bilioni moja, na wewe nitakulipa fedha za kutosha kisha mtoto nitamuwekea fedha za kumtunzia mpaka atakapo kua, na mwisho nitamuweka kwenye Wosia kama mmoja wa warithi wa mali zangu.

Baada ya hapo unasikia mke akijibu, Siwezi kutoka na wewe kwani namheshimu mume wangu, siwezi kumsaliti, ukizingatia maisha yenu yanawawezesha kupata mahitaji muhimu tu ila siyo ya kiwango cha maana.

Je, Mume, utachukua uamuzi gani? Utaanza kumshawishi mkeo akubali kutoka na tajiri, au utamponeza kwa kukataa kuonesha umepata mke mwaminifu sana.
Kama watu wanatoa kafara watoto na wazazi hili jambo dogo sana
 
Mkeo anakuwa na kipi cha ziada mpaka tajiri aweke 1B?

Mkeo anakataa sababu anaona kamba hlf wewe kilaza unameza ndoano!😀

NB:Wanawake huanza kudanganywa toka wakiwa 12yrs huko so at least ni wazoefu wa hizo chitchat tofauti na wanaume.
 
Indecent Proposal | CIC Video with Universal and Paramount (UK) Wiki | Fandom

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom