kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kugoma kula wakati chakula kinapatikana ni kosa kisheria!

    ⚖️ MWABUKUSI: KUGOMA KULA MAHABUSU NI KOSA KISHERIA “Kugoma kula wakati chakula kinapatikana mahabusu ni kosa kisheria chini ya Kifungu cha 123 cha Makosa ya Uhaini.” — Adv. Mwabukusi, Rais wa TLS. 📌 Kauli hii yazua mjadala kuhusu haki na wajibu wa wafungwa na mahabusu. 🔜Kuuzuia mwili usipate...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU HAJAGOMA KULA NA HAKUNA WAKILI WAKE ALIYEZUIWA KUINGIA GEREZANI

    Kuna taarifa inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii iliyotolewa Oktoba 26, 2026 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia ikijulisha umma kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameanza mgomo wa kula chakula kuanzia Oktoba 26, 2026...
  3. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Kuunga Mkono Mgomo Kula wa Lissu, Nimeaamua Kufunga kwa masaa 18 mpaka 21 kwa siku mpaka siku Lissu atakapoaanza tena kula.

    Leo ni siku ya pili ....
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Lissu aanza mgomo wa kula. CHADEMA yasema mawakili wake wamezuiwa kumwona gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, ameanza mgomo wa kula kuanzia Oktoba 26, 2026, huku chama hicho kikilalamikia kuzuiwa kwa mawakili wake kumwona gerezani. Hatua hiyo inafuatia taarifa iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Dk...
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tundu Lissu hadi Gandhi: Je, migomo ya kula huwa na matokeo?

    Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza mgomo wa kula leo, akipinga kile ambacho mawakili wake na chama chake wanaeleza kuwa ni ukiukwaji wa haki yake ya kuwasiliana kwa faragha na wanasheria wake akiwa mahabusu, wakati akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

    Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili. "Hayo ameyaeleza...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mandela wa mabua anagoma kula!

  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mnyika, hakuna watanzania wajinga watakaogoma kula

    Jana Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akizungumza na vyombo vya habari, ametoa wito kwa watanzania kugoma kula lengo likiwa kumuunga mkono mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Kuna maswali ambayo yanastahili kuulizwa pale viongozi wa kisiasa wanapotoa wito kwa wananchi kuchukua hatua za...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Siasa za kitapeli tuziache, Mnyika nakukubali sana Ila kusema tugome kula wakati tunakula si njia sahihi

    Why doth CHADEMA perpetually resort to jocularity in matters of fundamental import? Ye remain passive, not active! It is meet and proper for Lissu to abstain from nourishment, yet for us without to engage in a hunger strike is devoid of significance. We ought to proceed unto the penitentiary...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kiza Besige Aligoma Kula Chakula hadi kudondoka Mahakamani na kukondeana lakini aliendelea kukaa ndani hadi akaanza kula mwenyewe. Lissu asibembelezwe

    Ndugu zangu Watanzania, Lissu asibembelezwe hata kidogo Yaani tena ikiwezekana asipewe kabisa chakula kama hataki kula ili kupunguza na kuondoa usumbufu wa kutembea kumbembeleza ili ale chakula . Yeye kama hali na hataki kula basi aaachwe akae hivyo hivyo bila kubembelezwa kwa namna yoyote...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Lissu kugoma kula ni dhaifu sana kulinganisha na mahasimu wake walivyo makatili. Wanafurahia hiyo mbinu

    Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti . Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu Mod usiunganishe uzi
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

    Kupitia TEC, Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia...
  13. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Sisi wasomi/wanazuoni tutautumia mgomo wa kutokula wa Lissu kama Case Study ili tuone mtu anakufa baada ya siku ngapi akikaa bila kula

    Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026. ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu kuamua kujidhuru na kujiangamiza mwenyewe kwa njaa kabla ya hukumu yake, ni kutafuata umaarufu na public sympathy isiyo na tija

    Kwasababu kwa kawaida, mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe. Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wachoma Nguruwe na Kula Nje ya Msikiti Kupinga Uislamu Nchini Korea

    Raia wa eneo la Daehyeon-dong, Buk District, Daegu huko Korea Kusini wameamua kuchoma Kitimoto na kula nje ya eneo ambalo kuna Ujenzi wa Msikiti ambao Waislam watautumia kwenye Ibada ikiwa ni sehemu ya kupinga Uislam na ujenzi wa nyumba hiyo ya Ibada. Uislam sio haram kwa mujibu wa sheria za...
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Waafrika wanapenda kula sana?

    Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuna kila Sababu ya Kumshukuru Rais Samia, Wakati Sisi Tuna Kula na Kuvimbiwa Wenzetu Ulaya Wanashinda na kulala na njaa

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania tuna kila sababu ya Kumshukuru Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya kwa Taifa letu. Tunashukuru kwa uchapakazi wake . Tumshukuru kwa kujitoa na Kujitolea...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Moja afariki dunia ,40 walazwa wakidaiwa kula chakula chenye sumu Singida

    Mmoja amefariki dunia na wengine 41 kulazwa hospitalini kwa matibabu baada ya kusadikiwa kula chakula chenye sumu mkoani Singida. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Matride Kuyeko amesema mtoto mwenye miaka 13, Ridhiwan Omari alifariki dunia wakati anapatiwa matibabu katika zahanati ya Moyo wa...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kuzaa kwa uchungu haitoshi, wameona waingilie na Adhabu ya kula kwa jasho ya wanaume

    Kwa mujibu wa simulizi za pale bustani ya Eden, baada ya Adam na Hawa kula tunda lililokatazwa, Hawa akapewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, huku Adam akiambiwa atakula kwa jasho la uso wake. 😂 Sasa cha kushangaza, wanawake wameona adhabu yao haitoshi! Wameamua kuingilia na adhabu ya mwanaume pia...
  20. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliooa wasiwe na mazoea ya Kula peke yao chakula

    Msiichukulie hii Post seriously sana .. chukua code tu afu we pita hivi..
Back
Top Bottom