Habari wakuu,
Katika Maisha yangu yote hakuna chakula ambacho Sili Ila kuanzia mwezi huu nimeona maajabu
Nimejikuta siwezi kula chochote chenye asili ya Roho naona kama nadhurumu nafsi ya viumbe yaani nakula kiumbe ambe ameuawa naona kinyaaa Sana kula nyama ya Kuku naona kama namuonea Kuku...
Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui.
Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia.
NB
Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema...
Unakuta mtu ananunua chakula kwa pesa aliyoitafuta kwa shida halafu anaweka pilipili kwenye mboga kiasi kwamba jicho linakuwa nyanya, jekunduuuu! Muda huo anakula huku ametumbua macho na kuachama (kuacha mdomo wazi) ili hewa ya oksijeni iupooze mdomo, muda huo lips zimekuwa tomato! Zimedoda...
Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu,sijui walizinguana nini,saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu yaani mpenzi wake na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu
Nikamwambia njoo ulale kwangu,usiku mrefu ndugu zanguni,nilikuwa naishi kighetogheto chumba kimoja...
Nilipita mahali leo ( uswahili kidogo) nikaona maandazi aina ya half cake Dukani kwa mangi nikayatamani. kwakua sijayala muda mrefu nikasogea kwenda kuuliza bei nikaambiwa 200 moja, muuzaji akaniambia naomba hela yako iwe ya chenji sina chenji zinasumbua. nikamwambia nina elf 1 akasema unataka...
Habari wanajukwaa!
Nimefurahi kwamba wote muwazima, kwa wale wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu, kwa wale wasio na dini mpone haraka.
Sitakuwa na mambo mengi ya kuandika, jambo ni moja tu! Kwenye haya maisha tupambane kila siku, ila tusisahau ku-relax na ku-flex kistaarabu baada ya...
Naomba nikosolewe au kupongezwa kwa utaratibu nilioelekeza nyumbani kwangu kwamba ni marufuku wife kupokea shukrani za mgeni anaeshukuru kwa chakula.
Hii imekua ikitokea hata kwa wageni ambao wanaishi muda mrefu, kwamba kila anapomaliza kula anamuangalia “mama mwenye nyumba” na kumshukuru kwa...
Nimekumbwa na tatizo la kujihisi nimeshiba baada ya kula chakula. Nikinywa chai asubuhi utafika usiku bika kuhisi njaa wala kutamani chakula. Sisikii maumivu yoyote na napata choo kama kawaida. Walaam Tatizo laweza kuwa ni nini
Moja kwa moja nawashukia wakala wa vipimo (Weights and measures Agency aka WMA) ambao wanahusika na udhibiti na ukaguzi wa uzito wa mazao hapa Tanzania. Hii taasisi ina vituo vyake katika kila sehemu zenye mizani katika barabara kuu hapa Tanzania. Mfano mizani za...
Habari zenu, nimekuwa tofauti kidogo pengine ni kawaida kwa kila mtu kupata kikohozi kidogo, hii ilianza yapata miaka mitatu iliyopita sasa nikaona nije humu mnisaidie.
Asanteni
Salamu.Watanzania wengi wanaishi vijijini. Nahuko matunda ni mengi lakini husafirishwa kwenda mijini.
Matunda kama embe zinaonekana ni kwa watoto.
Ndizi mbivu wengi huzidharau kwamba chakula cha nyani.
Watu wa mijini wanajitahidi kula matunda sana.
Watu wa vijijini hasa wanaume wakienda mijini...
Salaam, shalom!!
Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali"
Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai...
Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda!
Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini nimeshindwa!,Huwa napata taabu sana nikimtembelea ndugu,jamaa au rafiki nikakuta kapika wali,aiseee huwa...
Hiyo hali imeshakuwa kero sasa!
Mara nyingi, nikishakula tu, najisikia uchovu kiasi cha kutamani kulala, hata kama ni Mchana. Haijalishi kama nimekula chakula kidogo tu, nitajisikia tu kulala.
Kuna jinsi ya kuiepuka hiyo changamoto?
Asanteni!
Sijawahi kuelewa kabisa mtu anakulaje ugali mboga saba kwa raha mustarehe akifurahia chakula, wengine wanaita kucheza drafti.
Mimi chakula kikizidi mboga tatu huwa naona kizunguzungu tu saa ya kula. Pia mboga zikiwa nyingi sana tofauti tofauti ugali huwa unawahi kuisha mboga zinabaki inabidi...
Msanii Roma Mkatoliki aonesha upendo kwa msaa mwenzake Nay wa Mitengo kwa kuhamasisha wananchi wamchangie msanii Nay wa Mitego kama shukrani kwake kwa kupigania haki za wananchi.
Nay
Wadau mada yajieleza.
Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi.
Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi?
Maeneo yawe mazuri sana.
Asanteni.
Njaa isikie kwingine tu.
Ikikukumba unaweza ukamkula hata mkeo [literally 😀].
Sina uhakika na vyakula vya huko kusini mwa Afrika.
Labda nyama ya tembo ni moja ya delicacies pande hizo.
Kutokana na ukame ulioikumba nchi hiyo, serikali yake imetoa ruhusa ya kuchinjwa kwa tembo 200 ili wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.