Pia naomba kuuliza.
Parachichi
Apple
Ndizi mbivu
Wali
Ugali
Nyama
Maziwa mtindi
Maziwa fresh(boxed like asas and first choice)
Wine.
Mayai ya kukaanga au kuchemsha
Vitu gani Kati ya hivi sipaswi kutumia kabisa?
Maana nasumbuliwa na acid reflux na tumba kujaa ges.
MWENYE UFAHAMU NAOMBA ANIJUZE...
Naomba niwashauri wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA, pesa zikija au kuletwa kwenu kuleni bila huruma ila kura mpigieni mwanamageuzi Lissu.
Ushauri wangu kwenu ni kwamba kuleni kwa Mbowe ila kura mpigie Lissu.
Asanteni kwa kunielewa.
Niko hapa nina mialiko minne ya sikukuu na bado sijarudi mkoani kwa mama yoyoo. Sitaki kuwakera maboss zangu walionialika kwa hio nimejigawa, jana usiku nimekesha kwa mmojawapo. Leo saa nne nmeenda kula supu ya jogoo shababi kwenye mwaliko wa pili, hapa naelekea kwenye mualiko wa tatu nikaguse...
Habari wakuu.
Baada ya kugundua kuwa sina uwezo wa kujenga,kununua gari au kwenda mavacation nimeona nifurahie maisha kwa japo kula vizuri kama matajiri.Starehe na anasa yangu iwe kula vizuri.
Uwezo wa kula vizuri ninao ila siridhiki na vitu ninavyokula.Najikuta kila siku nakula vitu vile vile...
1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo.
2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka.
3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
Wakuu,
Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni!
Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo...
Kwenye wimbo wa nipeni maua yangu wa msanii Roma kuna mstari unasema hivi: Askofu mfufua wafu anaiba kura za mpinzani atashindwaje kuiba sadaka za waumini kanisani.
Mchungaji akitaka gari twamchangia muumini akitaka gari twamuombea, basi mchungaji tusimpe sadaka tuombee tukae pale tushuhudie...
Habari
Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa.
Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
Sababu ni moja tu nayo ni👇👇👇
Kwa sababu huu ni msimu wa Mananasi.
Katika ulimwengu wa roho, kunapokuwa na msimu wa kitu fulani, tafsiri yake ni kwamba muda huo ndio muda sahihi wa kufanya kitu hicho.
Mifano kupanda mazao msimu wa mvua zinapo anza.
Sasa hivi ni msimu wa Mananasi, tafsiri yake...
Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa ,Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka,Popo au aina ya wadudu fulani
Follow magical power
Habari wakuu,
Siku mbili nyuma nilikua safarini kutoka mkoa x kuja mkoa y. Safari yangu niliianza majira ya saa 1 jioni kwa usafiri wa bus.
Sasa kuna mtu tena mmama nilikua nimekaa nae siti moja nikashindwa kumuelewa alikua na appetite ya namna gani.
Kila bus likipiga break yeye lazima anunue...
Kuelekea siku ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi 1,213 wamepewa mafunzo na kuapishwa kwa ajili ya kusimamia uchaguzi huo utakaofanyika siku ya Jumatano ya Novemba 27, 2024.
Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Nachingwea Mhandisi Chionda M. Kawawa amewasihi...
Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa za mwaka huu hakuna mgombea atakaepita bila kupigwa badala yake kutakuwa na kura ya NDIO au HAPANA kama itatokea mgombea ni mmoja katika nafasi husika.
Vyama vya siasa vina haki ya kuweka mawakala katika vituo vya kupigia kula ikiwa vimetoa...
Mfano unakula kitu chochote halafu kwa bahati mbaya kimeanguka, okota na ule. Acha kuogopa bakteria na wadudu wengine hatari kwa sababu wadudu ama bakteria pindi waonapo chakula kimeanguka kwenye mazingira yao hawakifakamii ghafla bila kuunda tume ya uchunguzi.
Kwanza kabisa kuna bakteria...
Kwa afya ya nchi yetu na chama chetu hususan katika kipindi hiki cha uchaguzi, alichofanya huyu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ni kama anataka kukuharibia. Ikikupendeza mpumzishe kwanza.
Kwa sasa, mpira unaleta mchango mkubwa sana kwenye amani, furaha na ustawi wa maisha yetu na kwa bahati wewe umekuwa...
Wananzengo hamjambo?
Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu.
Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani?
Inawezekana sisi tunawaogopa bure, huku nyie mkifaidi peke yenu kula vitu vyenye ladha nzuri.
Tushawishini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.