Kula vizuri ndio kilevi changu, kwa hili nashukuru sana Mungu

Kula vizuri ndio kilevi changu, kwa hili nashukuru sana Mungu

Situmii pombe,
Situmii sigara.
Situmii kitimoto
Sio mtu wa wanawake

Kilevi changu ni kula vizuri sana, mfano Leo weekend

Nimepika nyaama ya mbuzi kilo Moja na ndizi za kukaanga nakupa taratibu.

Hakika Sina kilevi zaidi ya kula vizuri
Kwenye ule uzi wa nini ufanye ili ufanikiwe ongezea na kujipenda na kula vizuri
 
Rio ferdi nandi chukua kipaji kingne hiki hapa. Kula ni kipaji kizuri sana na haunywi hauvuti sigara upo vizuri tunza hizo figo cku ukifa zitasaidia mwingne.
 
Back
Top Bottom