Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 3,637
- 8,214
Na tunamwambia ukweli ila jamaa analalamika kinoma.Ayawazayo mtu ndo yamjazayo Munch wa anabelle tz
Ni changamoto kwelikweli
Na tunamwambia ukweli ila jamaa analalamika kinoma.Ayawazayo mtu ndo yamjazayo Munch wa anabelle tz
Kuna jamaa anaitwa Kant ombe ana eneza habari za ushoga sijui moderator yuko wapi ampige ban hata ya mwakaSitumii pombe,
Situmii sigara.
Situmii kitimoto
Sio mtu wa wanawake
Kilevi changu ni kula vizuri sana, mfano Leo weekend
Nimepika nyaama ya mbuzi kilo Moja na ndizi za kukaanga nakupa taratibu.
Hakika Sina kilevi zaidi ya kula vizuri
HahahahaHapana namsema uyo aliyekuponda hapo juu eti mwanaume halagi ndizi wakati wanaume wa uchagani ni wembamba
Rio ferdi nandi chukua kipaji kingne hiki hapa. Kula ni kipaji kizuri sana na haunywi hauvuti sigara upo vizuri tunza hizo figo cku ukifa zitasaidia mwingne.
SawaNa tunamwambia ukweli ila jamaa analalamika kinoma.
Ni changamoto kwelikweli
Mimi sina mamaHahahaha
Hahahahah ukweli Nenda kamwambie mama ako single maza muuza utumbo sio mimi
SawaMimi sina mama
Umejuaje kama alikufa mkuuPole sana najua mama Yako alikufa baada ya kufumaniwa pole sana mtoto wa single maza
Ahsante sana mkuu ila sio kwamba nakula Daily hivyo Hapan.Uwe na kiasi mkuu, chakula hicho kinaweza kugeuka kitu kingine. Siku moja moja unafunga ili mwili upumue.
dah, Hapa umemwambia nani na maswala ya kutukania mtu mzazi wake nilikataa ndugu yangu. Au unataka nikupotezee hiyo cmu inakupa kiburi cha matusi ya hivo au ni coz naona na mimi ni kama umekusanyiamo. Mzazi wa mtu mheshimu hata kama wewe uliota kutoka mitini mpe japo heshma ndogo tu. Tukana mtu direck kuliko kusema mamako au babako na hautapungukiwa kitu. Maswala ya matusi tulishatoka hapo kitambo na wewe unayaleta tena. Acha ufala na nakuomba kwa heshima tu ufute au uedit hiyo coment ya matusi. Mamamtu anauma ndugu au nilete jeshi utukanwe hadi uone jf ina vichaa kukuzidi. Mimi nna msemo mmoja ya kwamba; kama adui yangu nammudu namalizana nae hakuna haja ya kumwachia mungu. Please edit or delete usiharibu uzi wako mwenyewe Solo TravellerHahahaha
Hahahahah ukweli Nenda kamwambie mama ako single maza muuza utumbo sio mimi
Niambie kwa kunielekeza na kunielewesha sio kunitisha mkuu.dah, Hapa umemwambia nani na maswala ya kutukania mtu mzazi wake nilikataa ndugu yangu. Au unataka nikupotezee hiyo cmu inakupa kiburi cha matusi ya hivo au ni coz naona na mimi ni kama umekusanyiamo. Mzazi wa mtu mheshimu hata kama wewe uliota kutoka mitini mpe japo heshma ndogo tu. Tukana mtu direck kuliko kusema mamako au babako na hautapungukiwa kitu. Maswala ya matusi tulishatoka hapo kitambo na wewe unayaleta tena. Acha ufala na nakuomba kwa heshima tu ufute au uedit hiyo coment ya matusi. Mamamtu anauma ndugu au nilete jeshi utukanwe hadi uone jf ina vichaa kukuzidi. Mimi nna msemo mmoja ya kwamba; kama adui yangu nammudu namalizana nae hakuna haja ya kumwachia mungu. Please edit or delete usiharibu uzi wako mwenyewe Solo Traveller
Ahsante Nashukuru sanaDah! Kula vizuri si ulevi bali hitaji la muhimu kwa ajili ya ujenzi wa afya bora. Na unakula vizuri kwa vile unao uwezo wa kununua hivyo vyakula,unafikiri mtu anayeshindia mlo mmoja ulevi wake utakuwa huo mlo mmoja kwa siku? Tafakari nje ya box mwanawane
HAHAHA 😂 Mbuzi katoriki nyama bora dunianiUpo kama mimi, ila huu uzi wako nausoma nikiwa nafuturu mbuzi katoliki.
poa tusifufue makaburi wewe ni mtu uliye na akili sawa ukiona mtu amecoment kisichofaa kwako you can block or ignore kuliko umjibu kimatus hapo hata wewe utaoneka hamnazo. Uzi ni wako bro edit or futa plz sijakutisha. Matusi hayasaidii ndugu yangu tena tusi la mzaz n kama wewe huna mzaz. Mzazi mwenyewe yuko huko anapalangana na mishe zake hajui utaila wetu humu so sio poa kumtaja bro hata kama hujanitusi mim ila imenigusa coz nimekua nikihubiri watu waache matus na kwel wengi walikaa kimya baada ya kuelewa umuhimu. Fanya juu chini ufute na umwambie huyo alocoment usichokitaka ajirekebishe na hautapungukiwa chochote.Niambie kwa kunielekeza na kunielewesha sio kunitisha mkuu.
Naweza nisibadili chochote kama sehemu ya kuonesha Jeuri juu ya matisho ambayo umenitolea..
Unajichekesha nini sasa?Hahahaha 🤣 sawa Njoo basi nikufukue ilo tope mana naona umekuwa unanifatilia au umekuwa attracted na height??
Ahsante sana mkuu ila sio kwamba nakula Daily hivyo Hapan.
Ni kama mlevi halewi kila siku, na Mimi Ivo Ivo naweza nikatoka siku Moja tu kwa ajili ya kula vizuri mkuu