Kula vizuri ndio kilevi changu, kwa hili nashukuru sana Mungu

Kula vizuri ndio kilevi changu, kwa hili nashukuru sana Mungu

poa tusifufue makaburi wewe ni mtu uliye na akili sawa ukiona mtu amecoment kisichofaa kwako you can block or ignore kuliko umjibu kimatus hapo hata wewe utaoneka hamnazo. Uzi ni wako bro edit or futa plz sijakutisha. Matusi hayasaidii ndugu yangu tena tusi la mzaz n kama wewe huna mzaz. Mzazi mwenyewe yuko huko anapalangana na mishe zake hajui utaila wetu humu so sio poa kumtaja bro hata kama hujanitusi mim ila imenigusa coz nimekua nikihubiri watu waache matus na kwel wengi walikaa kimya baada ya kuelewa umuhimu. Fanya juu chini ufute na umwambie huyo alocoment usichokitaka ajirekebishe na hautapungukiwa chochote.
Ahsante mkuu nimekuelewa
 
Sasa hapo Mungu anahusikaje, akili ya mtu mweusi dah
 
Situmii pombe,
Situmii sigara.
Situmii kitimoto
Sio mtu wa wanawake

Kilevi changu ni kula vizuri sana, mfano Leo weekend

Nimepika nyaama ya mbuzi kilo Moja na ndizi za kukaanga nakupa taratibu.

Hakika Sina kilevi zaidi ya kula vizuri
Kama hauli kitimoto acha kupotosha umma kuwa unakula vizuri. Hapo unajipotosha mwenyewe
 
Back
Top Bottom