Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Ni manzi yangu ya kitambo ila ndio hivyo tena hana malengo yoyote yeye anajua kutumiwa na kula tu. Nilimwambia awe na biashara nimuwezeshe afanye biashara ajipatie hela ndogo ndogo za kutumia cha ajabu anasema sio kazi yake kutafuta pesa.
Nia yangu ilikuwa nimuwezeshe awe na biashara ya uhakika na aweze kujenga kajumba nikiwa nampa support ndogo ndogo ila ndio hivyo kichwa chake kinawaza kuhudumiwa tu nimeona niingie mitini, toka nimkaushie simu na meseji kibao hadi kero. Baadhi ya wanawake ni changamoto sana