Mchepuko hautaki tuwekeze unachojua wenyewe ni kutumiwa hela na kula tu

Mchepuko hautaki tuwekeze unachojua wenyewe ni kutumiwa hela na kula tu

Ni manzi yangu ya kitambo ila ndio hivyo tena hana malengo yoyote yeye anajua kutumiwa na kula tu. Nilimwambia awe na biashara nimuwezeshe afanye biashara ajipatie hela ndogo ndogo za kutumia cha ajabu anasema sio kazi yake kutafuta pesa.

Nia yangu ilikuwa nimuwezeshe awe na biashara ya uhakika na aweze kujenga kajumba nikiwa nampa support ndogo ndogo ila ndio hivyo kichwa chake kinawaza kuhudumiwa tu nimeona niingie mitini, toka nimkaushie simu na meseji kibao hadi kero. Baadhi ya wanawake ni changamoto sana
Ushasahau kote ulikopitia Hadi unakuwa na mchepuko?
 
Haukulazimishwa kumtongoza,ulipenda kumgeuza geuza sasa ameanza kukugeuza unataka kula kona. Mwanaume pambana bhana.
 
Ushasema mchepuko, usitegemee yeye kuwa na malengo nawe ya muda mrefu zaidi ya kuchuma ulichokivujia jasho.
 
Back
Top Bottom