Ukifanikiwa punguza kelele kula kimya kimya, Dogo mmoja wa Twitter huko X sasa hivi wamemfelisha

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Ukifanikiwa punguza kelele kula kimya kimya. Watu wasijue chimbuko la pesa zako. Dogo mmoja wa twitter huko (x) alikuwa na maneno ya shombo sana kwa watu sahv wamemfelisha ananyea debe .

Hushpupi pesa zote alizopata asingekuwa na kelele yasingemkuta maswahibu yaliyompata
 
Yule wala sio uropokaji wa pesa....

Yule alijikuta amejiingiza kwenye siasa, dizain nae qkawa mpiga spana ....

Sasa kutokana na kujionesha kwake mbanga zake, majamaa yakamtaftia sababu ya kumkamata make alianza kudili na mbao huko iringa, akaundiwa zengwe, kuna miti ambayo ni marufuku kukata... mpaka uwe na kibali !
 
💯
 
Kumbe ndo yaliyomkuta maana wengi tupo njiapanda tulikuwa hatujui source ya matatizo yake
 
Back
Top Bottom