Ukifanikiwa punguza kelele kula kimya kimya, Dogo mmoja wa Twitter huko X sasa hivi wamemfelisha

Sure, Mbaya zaidi huwezi kua msafi kwenyw biashara, wakikutafuta watakupata tuu.
Itv na radio one zilipokua kimbelembele kwa chadema, walikua wanampelekea mengi Kodi alizokwepa, ndiyo maana baada ya magu kutangazwa mshindi,mengi alikua mtu wa kwanza kufika Lumumba kupiga picha na magu akiwa na cheti cha ushindi
 
Ukifanikiwa punguza kelele kula kimya kimya. Watu wasijue chimbuko la pesa zako. Dogo mmoja wa twitter huko (x) alikuwa na maneno ya shombo sana kwa watu sahv wamemfelisha ananyea debe .

Hushpupi pesa zote alizopata asingekuwa na kelele yasingemkuta maswahibu yaliyompata
Sasa kuna watu kama Hushpuppi wao nia yao nzima ya kupata pesa ni ili wawatambie.

Ukimwambia mtu kama huyo atafute pesa halafu akae kimya asiwaoneshe kuwa kapata pesa, unakuwa umeondoa sababu yake kubwa ya kupata pesa.

Yani yeye anaona kuwa na pesa halafu asijioneshe anaona ni sawa na kutokuwa na pesa.

Ili ajue ana pesa kweli ni lazima ajioneshe, awatambie.

Halafu pia, kule kujionesha ni sehemu ya kuvutia watu ili aweze kupiga pesa zaidi.

Zike saa za Hushpuppi za bei mbaya alikuwa anavuka nazo mipaka kama sehemu ya money laundering. Sasa akiwa anajulikana huyu Hushpuppi anavaa saa za gharama, anapata urahisi wa kuvuka nipaka bila kuulizwa, kwa sababu anajulikana mitandaoni.

Ni kama habari ya "biashara matangazo" halafu wewe unamwambia mfanyabiashara afanye biashara kimyakimya bila matangazi.
 
Sir Jeff kilichomponza ni Siasa. Alijisahau akajua yupo kwenye ulimwengu wake wa Forex. Ajifunze kwa Jack Ma, Serikali ya China ilichomfanya alipotaka kuja na Ant Group IPO, kwaajili ya Digital Currency yake na kuanza kuidharau serikali.
Inasemekana alichokoza siasa makusudi ili awekwe ndani kukimbia madeni...
 
Kijana tayari alikuwa na misala mizito akaona aingie kwenye siasa ionekane kakamatwa kisa siasa. Vyombo vya usalama vya Tanzania huwa vinamchunguza sana mtu kabla ya kumkamata ingawa wakati mwingine kuna maafisa huzingua kwa kuweka weledi pembeni.
hapo kwenye vyombo vya usalama kuchunguza mkuu umedanganya hao huwa wanasubiri kutumwa tu hawana lolote
 
Sasa kuna watu kama Hushpuppi wao nia yao nzima ya kupata pesa ni ili wawatambie.

Ukimwambia mtu kama huyo atafute pesa halafu akae kimya asiwaoneshe kuwa kapata pesa, unakuwa umeondoa sababu yake kubwa ya kupata pesa.

Yani yeye anaona kuwa na pesa halafu asijioneshe anaona ni sawa na kutokuwa na pesa.

Ili ajue ana pesa kweli ni lazima ajioneshe, awatambie.

Halafu pia, kule kujionesha ni sehemu ya kuvutia watu ili aweze kupiga pesa zaidi.

Zike saa za Hushpuppi za bei mbaya alikuwa anavuka nazo mipaka kama sehemu ya money laundering. Sasa akiwa anajulikana huyu Hushpuppi anavaa saa za gharama, anapata urahisi wa kuvuka nipaka bila kuulizwa, kwa sababu anajulikana mitandaoni.

Ni kama habari ya "biashara matangazo" halafu wewe unamwambia mfanyabiashara afanye biashara kimyakimya bila matangazi.
Hakika Mkuu watu kama Hushpuppi ni ngumu kuwatuliza labda prison pekee.
 
Mungu akikupa mapema
muonbe akupe na hekima ya kuziendesha hizo pesa
ontario hata kabla ya siasa alikua anatukana sana watu kwamba nyinyi maskini na blah blah za kijinga
sawa wewe Mungu kakupa kwann unaita wengine maskini??

kwanza anapenda showoff kama mtoto wa form 2
mi nakumbuka sakata flani alikuala ela ya jamaa jamaa akasafiri kuja kumfata alivyokua ana mjibu yaani dharau plus ushubwada wa kupuuzi kweli kweli

kuna vijamaa vina sifa za kijinga maishani kama huyo jeff ila tu havijapata ela
huyo jeff ujinga umemjaa ubongo wa mbele

na huo utajiri gani wa kufunga semi moja ya mbao??
ni hela za kawaida sema tu hana utulivu
waongee kina Benji fernandes
 
Kabisa Dada yeyoyooo
 
Back
Top Bottom