Ukifanikiwa punguza kelele kula kimya kimya, Dogo mmoja wa Twitter huko X sasa hivi wamemfelisha

kama ni ontario basi huyo jamaa alikuwa hajui anataka nn , tatizo la jamaa sio show off kwa vile pesa ni zake . Tatizo anapenda kuleta ujuaji katika kila nyanja , hili ni tatizo la watu wengi wenye pesa ;kuna kipindi alikuwa anaongelea uchumi na hapa alipata watu wengi, akaenda kwenye kukosoa na kukashifu dini , hatimaye akaingia kwenye siasa.

Ushamba mbaya sana , yaani mtu una pesa zako na wafuasi lukuki ila unapenda kukosoa vitu ambavyo havina maana kwako wala haumini , huku dini mara siasa .​
Alizingua sana hatimaye kimemlamba , asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu
 
ukiona umeshindwa kabisa kuji control, ondoka social medias. Sio lazima uwepo social media kama unajua mawazo yako yatakuletea shida na watawala. Speaking from experience, watu wa doria za mtandaoni wameongezeka sana saivi, kuna batch nzima ya force flani flani wamewekwa kwenye hio program.
 
Mimi katika matajiri wote nawapenda waarabu , hao jamaa wana matatizo ila sio washamba ;mambo yao ni kimya kimya .

Katika kuwafahamu basi tajiri mstaarabu ni ''Bill gates'' , jamaa ana skendo nyingi ila yuko kimya . Huyu Musk naye ana ushamba wa kujifanya anajua kila kitu .
 
mbona yule tajir wa kihaya anajipost yeye na mali zake plus michambo mingi kwa watu lakini hajakutwa na jambo?,,,
Yule sio tajiri , zile ni sifa hana utajiri wowote . kwanza , yule ni spy na kada mtiifu wa CCM

Kuna kipindi kule twitter walimuhusisha na mambo ya kishirikina , anawejka uzi watu wanaomba pesa wanazotaka then anawatumia huku akisambaza screenshots . So , walidai ni mambo ya kuiba nyota , ila mimi siamini hayo mambo ya kishirikina .
 
ukiona umeshindwa kabisa kuji control, ondoka social medias. Sio lazima uwepo social media kama unajua mawazo yako yatakuletea shida na watawala. Speaking from experience, watu wa doria za mtandaoni wameongezeka sana saivi, kuna batch nzima ya force flani flani wamewekwa kwenye hio program.
Mkuu si useme tu ni hawa vijana zaidi ya 5000 waliotoka CCP moshi mwezi wa tano.
 
ukiona umeshindwa kabisa kuji control, ondoka social medias. Sio lazima uwepo social media kama unajua mawazo yako yatakuletea shida na watawala. Speaking from experience, watu wa doria za mtandaoni wameongezeka sana saivi, kuna batch nzima ya force flani flani wamewekwa kwenye hio program.
Haujakosea madini matupu
 
Yule sio tajiri , zile ni sifa hana utajiri wowote . kwanza , yule ni spy na kada mtiifu wa CCM

Kuna kipindi kule twitter walimuhusisha na mambo ya kishirikina , anawejka uzi watu wanaomba pesa wanazotaka then anawatumia huku akisambaza screenshots . So , walidai ni mambo ya kuiba nyota , ila mimi siamini hayo mambo ya kishirikina .
ila twende mbele turudi nyuma, hivi anajishugulisha na nini haswa au anafanya kazi gani? maana toka nafuatilia post zake huwa naona tu anajipost yeye na mali zake sijui kanunua gari flani mara appartment flani au yupo vacation ila kazi anayo fanya ni ipi inayompa hiyo mipesa
 
Mimi katika matajiri wote nawapenda waarabu , hao jamaa wana matatizo ila sio washamba ;mambo yao ni kimya kimya .

Katika kuwafahamu basi tajiri mstaarabu ni ''Bill gates'' , jamaa ana skendo nyingi ila yuko kimya . Huyu Musk naye ana ushamba wa kujifanya anajua kila kitu .
Musk ana chembe chembe za uAfrika si kazaliwa bondeni
 
Elon Musk amepata hasara kiasi gan had sasa
Naona mkuu hukufuatilia uzuri sakata lao na trump, hisa za tesla zilishuka mara 2 kipindi cha kampeni mpka trump akampambania baada ya kuingia madarakan, akaja tena kugombana na trump mpka akajiuzulu kwenye D.O.G.E. hadi leo hii karudi mwenywe kumlamba miguu trump majuzi tu walikuwa nae china.
 
Back
Top Bottom