Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Daaah! Mwana san kupitia twitter alinipa msaada mmoja mzuri sanaSir Jeff kabla hajaenda X (twitter) alianzia huku jf uropokaji wake
Daaah! Mwana san kupitia twitter alinipa msaada mmoja mzuri sanaSir Jeff kabla hajaenda X (twitter) alianzia huku jf uropokaji wake
Elon Musk amepata hasara kiasi gan had sasaKabisa na hiyo sio Bongo tu popote Duniani mfanyabiashara akijichanganya kwenye siasa lazma kuna loss ataipata tu
Kuna Don mmoja wa Mafiosi alisema kuwa mara nyingi kufanya uhalifu na kufanikiwa bila kushikwa si kazi ngumu kama kufanikisha uhalifu, ukapata pesa , halafu usijioneshe kwamba unazo. Huo ndio unakuwa mtihani ngumu sana.Hakika Mkuu watu kama Hushpuppi ni ngumu kuwatuliza labda prison pekee.
Nae yule ana shombo sana siku yake yajaYule wa kyera
Anaweza akawa amepoteza baadhi ya wateja / wafuasi wanao pingana naye kwa itikado za vyamaElon Musk amepata hasara kiasi gan had sasa
Snitch yule usimuamini,wale ndio wachomeshajimbona yule tajir wa kihaya anajipost yeye na mali zake plus michambo mingi kwa watu lakini hajakutwa na jambo?,,,
HApa ni wazi kwamba huna data zilizo sahihi ila unahisi amepoteza wateja.Anaweza akawa amepoteza baadhi ya wateja / wafuasi wanao pingana naye kwa itikado za vyama
Kuna waya hajagusa.mbona yule tajir wa kihaya anajipost yeye na mali zake plus michambo mingi kwa watu lakini hajakutwa na jambo?,,,
Hii issue ilivuma twitter , alianza kuipiga spana serikali ghafla ghafla maana kuna vitu alikuwa ashaharibu kwa hiyo alitaka sympathy ili ionekane anaonewa kisiasaKijana tayari alikuwa na misala mizito akaona aingie kwenye siasa ionekane kakamatwa kisa siasa. Vyombo vya usalama vya Tanzania huwa vinamchunguza sana mtu kabla ya kumkamata ingawa wakati mwingine kuna maafisa huzingua kwa kuweka weledi pembeni.
Yule sijawahi kumuamini hata mara moja na sometimes nahisi ni mtu wa system. Muda utaongeambona yule tajir wa kihaya anajipost yeye na mali zake plus michambo mingi kwa watu lakini hajakutwa na jambo?,,,
Hivi sasa yuko wapi Jack Ma? Ni lini mara ya mwisho kuonekana hadharani?Sir Jeff kilichomponza ni Siasa. Alijisahau akajua yupo kwenye ulimwengu wake wa Forex. Ajifunze kwa Jack Ma, Serikali ya China ilichomfanya alipotaka kuja na Ant Group IPO, kwaajili ya Digital Currency yake na kuanza kuidharau serikali.
Raha ya pesa ni kumiliki vitu vizuri na vya thamani, sasa ukiwa na pesa huna vitu vizuri una tofauti gani na asiye nazo? Pesa zenyewe hazitaki kujificha! Unawezaje kuzificha?Kuna Don mmoja wa Mafiosi alisema kuwa mara nyingi kufanya uhalifu na kufanikiwa bila kushikwa si kazi ngumu kama kufanikisha uhalifu, ukapata pesa , halafu usijioneshe kwamba unazo. Huo ndio unakuwa mtihani ngumu sana.
Bilionea Lugumi kutoka majalalani umesikitika sana.Waajiriwa halmashauri ya mpimbwe na itigi kwa umaskini wao wamefurahi sana billionaire jeff kukamatwa, jinga kabisa ,haitawasaidia chochte nyie watumwa
Mshamba huyoBilionea Lugumi kutoka majalalani umesikitika sana.
kumbe na wew ni wasio julikana? ngoja nianze kukukwepa 😅Yule ni mwenzetu wasiojulikana, usije ukamzoea zoea kienyeji.
uhakika,, yeye na yule tall wa tarimeSnitch yule usimuamini,wale ndio wachomeshaji
watu washalisema hili ila ngoja tuone japo anacheza kwa akili mno ili asigundulikeYule sijawahi kumuamini hata mara moja na sometimes nahisi ni mtu wa system. Muda utaongea