win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
mi nimesikitika pekeake😪Mixed feelings inachekesha na kusikitisha at the same time
mi nimesikitika pekeake😪Mixed feelings inachekesha na kusikitisha at the same time
Yule mdomo tu anautajiri wa billion moja na Hilux ya zero km😂😂😂😂😅😅😅 kuuumbe sema ana mbwembwe sana yule jamaa
Kabisa na hiyo sio Bongo tu popote Duniani mfanyabiashara akijichanganya kwenye siasa lazma kuna loss ataipata tuNazani hapa bongo ukiamua kufanya biashara, Achana na siasa au harakati.
Una roho wa Mungumi nimesikitika pekeake😪
Bora Hilo,kuliko kamdomo!kukaa kimya ndo mtihani unaweza kaa kimya wewe ila vitu vikaongea kama majumba, magari, bata
Yule mdomo tu anautajiri wa billion moja na Hilux ya zero km😂😂😂😂
Wafanyabiashara wakubwa huwa hawabishani na serikali,ukiona mfanyabiashara anabishana na serikali jua huyo ni kichwa majiNazani hapa bongo ukiamua kufanya biashara, Achana na siasa au harakati.
natakiwa kujibu vipi hapa?Una roho wa Mungu
Si nimekusifia kwahiyo hapo nishukurunatakiwa kujibu vipi hapa?
yani hapo kwenye Hilux ya zero km umeniacha mwanetu😅 sielewi chochote kuhusu magari mi bado mgeni kwenye hay mambo🤭Yule mdomo tu anautajiri wa billion moja na Hilux ya zero km😂😂😂😂
Siasa ni ya kukaa nayo mbali kama hauna maslahi nayoWafanyabiashara wakubwa huwa hawabishani na serikali,ukiona mfanyabiashara anabishana na serikali jua huyo ni kichwa maji
oooh AsanteSi nimekusifia kwahiyo hapo nishukuru
Kuna sehemu nimesema ni kubwa au ndogo? Mimi nimempa taarifa niyemquote thamani ya utajiri wake ambayo yeye mwenyewe anaisa huko twitter Kila uchwaoAU SIJAELEWA , HIO B 1 WE UNAIONA NDOGO ?
Ndo maana nilianza kwakuuliza sijaelewa , oky noted sikukuelewa mwanzoKuna sehemu nimesema ni kubwa au ndogo? Mimi nimempa taarifa niyemquote thamani ya utajiri wake ambayo yeye mwenyewe anaisa huko twitter Kila uchwao
Aachane na watu,achambe serekali aone moto wake!!mbona yule tajir wa kihaya anajipost yeye na mali zake plus michambo mingi kwa watu lakini hajakutwa na jambo?,,,
Mfanyabiashara unatakiwa uwe pamoja na wanasiasa waliopo madarakani,wakibadilika unabadilikaSiasa ni ya kukaa nayo mbali kama hauna maslahi nayo
Ukijiona una madoa sio msafi usithubutu kuichokoza serikali hauwezi ukawa salamaKijana tayari alikuwa na misala mizito akaona aingie kwenye siasa ionekane kakamatwa kisa siasa. Vyombo vya usalama vya Tanzania huwa vinamchunguza sana mtu kabla ya kumkamata ingawa wakati mwingine kuna maafisa huzingua kwa kuweka weledi pembeni.
kwani hajawahi kuisema hata kidogo? mbona huwa anajisema ni CDM kindaki ndaki japo nilisomaga kipindi cha nyuma sijui ni kwa yule mkamaria alisema tajir ni kipenyoAachane na watu,achambe serekali aone moto wake!!
Kwa mazingira yetu ya ki Afrika inatakiwa ufanye hivyo hakuna ujanja nje ya hapoMfanyabiashara unatakiwa uwe pamoja na wanasiasa waliopo madarakani,wakibadilika unabadilika